Natumia Tsh 11,000 tu kwa mwezi kwa matumizi ya Mawasiliano ya simu.

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,811
10,194
Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu?

mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅
Screenshot_20240430-092226.jpg
Screenshot_20240430-092239.jpg

Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
 
Mbona ndogo? Depends on what you do,
1. Nina post paid ya tsh 15,000Tsh kila mwezi ya GB 15
2. Nina 35,000 GB 15 kwa mwezi
3. 1500 kwa 10,000 SMS za mwezi
4. Randomly bando za voice call

N.B kama hufanyii economic issue na hizo gharama usifanye hivyo.
 
Mbona ndogo? Depends on what you do,
1. Nina post paid ya tsh 15,000Tsh kila mwezi ya GB 15
2. Nina 35,000 GB 15 kwa mwezi
3. 1500 kwa 10,000 SMS za mwezi
4. Randomly bando za voice call

N.B kama hufanyii economic issue na hizo gharama usifanye hivyo.
Kuna mwingine anatumia laki 2 kwa mwezi, akisoma hii yako ataiita ndogo sana.

Expenses are evenly distributed.. never judge
 
tupe mchanganuo wa buku kwa wiki.

kuanzia Mb, dakika na sms
Mchanganuo ndo kama huo, zikiisha kabla ya mda sinunui mpaka tarehe ifike. Nikiwa na shida sana nanunua mda wa maongezi wa sh 10 au ishirini. Sitoki njee ya 5000. Kwa mwezi. Mtandao pekee natumia ni JF, Google na whatapp. Status za video sifungui.
 

Attachments

  • Screenshot_20240430-102407.png
    Screenshot_20240430-102407.png
    41.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240430-102527.png
    Screenshot_20240430-102527.png
    26.3 KB · Views: 4
unatumia Vpn? haununui dakika wala sms?

what is your monthly bundle expenses?
MB
Shughuli zangu kwa sehemu kubwa zinahitaji MB mara nyingi Kwa siku 3000-5000

Dakika
Sio mtumiaji sana wa dakika kwa wiki natumia 1000 tigo dkk 100 na zenyewe zinaweza zisiishe zikabaki dkk 60 au 70

SMS
1000 mwezi mzima
 
Back
Top Bottom