Nataka kufuga ng'ombe wa maziwa

Ridomil gold

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
2,784
2,218
Kama kichwa kinavyosema mwaka huu nataka kuanza kufuga ng'ombe wa maziwa je wataalamu naomba msaaada wa changamoto na wenye uzoefu na kila kitu kinachohusu ufugaji huuu asante
 
Kama ni ng'ombe 1(wa nyumbani kwa ajili yako),hakuna changamoto za kutisha,nunua mbegu nzuri,tengeneza banda halafu tenga muda kwa ajili ya kuwa na ng`ombe wako..
 
Kama ni ng`ombe 1(wa nyumbani kwa ajili yako),hakuna changamoto za kutisha,nunua mbegu nzuri,tengeneza banda halafu tenga muda kwa ajili ya kuwa na ng`ombe wako..
Sitaki kufuga kwa ajili ya nyumbni mkuuu nataka kufanya biashara ya maziwa mkuu hyo ndio ombi langu nimekuja hapa
 
Sitaki kufuga kwa ajili ya nyumbni mkuuu nataka kufanya biashara ya maziwa mkuu hyo ndio ombi langu nimekuja hapa
Kipi unataka msaada hebu kuwa straight maana ufugaji haupo limited kwamba changamoto mpya zinajitokeza kila uchao...

Unataka usaidiwe kwenye kipi..sampu ya ng'ombe,soko la maziwa,madawa,magonjwa,eneo la kufugia au bei ya ng`ombe...
 
Sample ngo'mbe ndio nataka sana na soko la maziwa
 
1) Perishable goods zote changamoto kubwa ya kwanza ni soko …katika mazingira yako una uhakika wa hilo?

2) una eneo kubwa la ufugaji na malisho bila ya kugombana na Serikali pamoja na jamii mf.wakulima ?

3) Ng'ombe hasa wa kisasa wanakabiliwa sana na maradhi …jee eneo lako lipo accessible na Wataalam pamoja na dawa?

tuanzie hapa kwanza?
 
Safi sana..,hapa mbeya kuna kampuni inaitwa MBARALI ESTATES LTD,hapo panafugwa ng`ombe mpaka utashangaa halafu zote ni mbegu za kisasa...
kama upo seriaz watafute hata kwenyd website yao unaweza kupata pa kuanzia
Je nataka kununua ng'ombe mwenye mimba ndio nataka kuazia hapo je hili nalo linawwzekan
 
1) Perishable goods zote changamoto kubwa ya kwanza ni soko …katika mazingira yako una uhakika wa hilo?

2) una eneo kubwa la ufugaji na malisho bila ya kugombana na Serikali pamoja na jamii mf.wakulima ?

3) Ng'ombe hasa wa kisasa wanakabiliwa sana na maradhi …jee eneo lako lipo accessible na Wataalam pamoja na dawa?

tuanzie hapa kwanza?
Nafikili kuhusu wataalamu hilo wala si tatzo sana mkuuu kila kitu kina changamoto maana hata wa kienyeji inatakiwa kuwa na wataalamu kila kitu kina hitaji usimamizi mzuri hata kwenye ngazi ya ustawi wa familia
 
Kitabu
IMG-20240109-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom