Plot4Rent Natafuta yard ya kukodisha au kununua

fire and fury

Member
Jan 8, 2018
12
2
Natafuta yard ya kupaki magari ya mizigo ukubwa nusu acre mpaka acre nzima.Karibu na bandari au bagamoya road mpaka bunju.
 
Mkuu, nenda pale karibu na Tanki bovu kuna ofisi za kampuni ya Radi Service. Yule mzee anamiliki eneo kubwa sana ambalo kwa sasa halitumii. Anaweza kukukodisha. Liko bara barani kabisa. Ni baada ya kumaliza kiteremko cha Lugalo ukipandisha kilima kwa kushoto on your way to Tegeta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom