mangulumbwisi
Member
- Apr 19, 2012
- 77
- 22
Habari wana JF, ninashida jamani ya mkopo wa laki tano, kwa anayejua ninaweza kupata kwa riba nafuu kidogo.
Habari wana JF, ninashida jamani ya mkopo wa laki tano, kwa anayejua ninaweza kupata kwa riba nafuu kidogo.
Prime asante, sijatembelea, JFSACCOSS, ila nitatembelea leo, nitashukuru endapo utanisaidia, kuhusu swala la uaminifu haina shida.Kuna biashara nilikuwa naifanya ila msingi ulikuwa mdogo . Sasa nataka nieendeleze tena kwani wateja wangu wapo mkoani wananiomba niwatumie hiyo biashara ni Vitenge vya wax original, ni PM. asante