News Alert: Natafuta kazi yoyote halali

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
468
666
Mimi ni mhitimu wa elimi ya shahada mwenye umri miaka 25 katika tahasisi kubwa inayojulikana hapa Tanzania.

Ninatafta kazi yoyote ile halali,ingawa fani yangu ni mwalimu wa masomo ya sanaa.

Naomba kwa yoyote yule mwenye kazi au anamfaham anaetafuta mfanyaka anicheki pm kwa mawasiliano zaidi.
 
Tahasisi!!!! Ni taasisi bhn unaniabisha ticha
 
Usomi dizaini ya mleta mada ana haki asipate ajira.
Kuandika Kiswahili tu shida,sijui kama kuandika lugha ya malkia anajua vema?
Una digrii ya chupi nini?
Usiseme bahati mbaya!!
 
Mimi ni mhitimu wa elimi ya shahada mwenye umri miaka 25 katika tahasisi kubwa inayojulikana hapa Tanzania.

Ninatafta kazi yoyote ile halali,ingawa fani yangu ni mwalimu wa masomo ya sanaa.

Naomba kwa yoyote yule mwenye kazi au anamfaham anaetafuta mfanyaka anicheki pm kwa mawasiliano zaidi.
Wewe ndo mwenye shida,unatakiwa wewe ndo umfate pm mwenye kazi sio yeye akufate wewe pm
 
Usomi dizaini ya mleta mada ana haki asipate ajira.
Kuandika Kiswahili tu shida,sijui kama kuandika lugha ya malkia anajua vema?
Una digrii ya chupi nini?
Usiseme bahati mbaya!!
msameh itakuwa kateleza
 
Usomi dizaini ya mleta mada ana haki asipate ajira.
Kuandika Kiswahili tu shida,sijui kama kuandika lugha ya malkia anajua vema?
Una digrii ya chupi nini?
Usiseme bahati mbaya!!
Vema!!!! Ni vyema bhn unaniaibisha mdau
 
Vema!!!! Ni vyema bhn unaniaibisha mdau
Kasome kamusi maana ya Vema pia kasome maana ya vyema acha kukariri.
Mm Kiswahili ndio lugha yangu na nimezaliwa na kukulia Pwani,sio ninyi wengine mmetokea Koromije hahahahahahaha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom