Natafuta kazi. Nina shahada ya umahiri na uzoefu wa kutosha

Apr 17, 2023
47
58
Habari za jioni ndugu zangu,

Mimi ni kijana wa kiume, miaka 30, naishi Dar es Salaam na mhitimu wa shahada ya kwanza (bachelor degree) ya elimu na shahada ya umahiri (master degree) katika mipango na usimamizi wa miradi.

Baada ya kumaliza shahada ya kwanza nimefanya kazi kama afisa masoko na mauzo, afisa mratibu na msimamizi wa oparesheni wa kampuni mbili hapa nchini.

Wakati nafanya shahada ya umahiri nimefanya kazi kwenye mradi mmoja kama planning and resource mobilization officer mpaka mradi ukawa umeisha. Pia nmefanya kazi nyingi za kujitolea katika vitengo tofauti tofauti kwenye miradi miwili tofauti. Pia nina stadi za kiutafiti ambapo ninaweza kufanya kazi kwenye taasisi za tafiti na sera ambazo ni sehemu ya vitu nilivyofanya kwa vitendo kwenye umahiri.

Pia nmejaribu kufanya kazi kama individual consultant kwenye NGO’s zinazoanza katika maeneo ya baseline study, proposal write up, MEL, annual report preparation, engagement, resource mobilization na content creation. Lakini nimejikuta nashindwa kwa kwa kupungukiwa rasilimali fedha na watu.

Kusema kweli tangu mradi uishe nimejaribu sana kutafuta kazi sehemu kadhaa bila mafanikio. naombeni watanzania wenzangu, kwa yeyote mwenye uhitaji wa mfanyakazi mm nipo tayari kufanya kazi yoyote halali, mahali popote na kwa malipo yoyote hata kama ni kidogo japo naamini ipo siku nguvukazi yangu italeta ustawi katika taasisi na hvyo maslahi yangu yataongezeka.

Niko tayari kufanya kazi katika taasisi za miradi, tafiti, sera na kampuni za biashara. nimejaribu sana kuomba kazi sehemu nyingi sana lakini sijapata hata kuitwa kwnye usaili.

Kwa yeyote atakayewiwa kufanya kazi na mimi naomba anitafute pm au kwa email hii

todayfinest2@gmail.com
 
Mbona nafasi nyingi humu za fani yako huwa zinatangazwa? tena tayari una CV?

Tatizo liko wapi? Search ile I'd ya Jamii Opportunities Ingia hapo angalia started thread zake utaokota fursa hapo usichoke kuapply sehemu nyingi nyingi utatobowa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom