Natafuta gesti za 5,000 Mbeya

aaddoo

New Member
May 25, 2022
4
0
Jamani mwenye connection za gest za 5000 kwa mbeya anipe, au za bei poa naeza nkakaa.
 
Nenda Uyole, upande wa kulia kama unakwenda town, chinichini kidogo ipo Moja ya bei hizo.
 
Sijui kama kwa sasa zipo ila niliwahi kulala 2014 basi la Arusha limefika Mbeya saa tisa usiku

nenda stendi ya mabasi ya mikoani mjini (sio stendi ya nanenane) kuna gesti hapo hapo stendi, hakikisha unatoka na mizigo yako muhimu kila ukitoka nje.
 
Pale ni elfu 6 sema hizo blanketi na mashuka yao nadhani mara ya mwisho kufuliwa yalifuliwa mwaka 1987.panaitwa star lodge
Ni rahisi sana kuwaimbisha wa sh. 6000 kukulaza kwa 5000 kuliko wa 10000. Hilo la ma blanket alitegemee
 
Mwaka 1984 nilikaa Mbeya kuanzia mwezi wa 5 mpaka wa 8 katikati, nilioga siku nimefika baaasi!!
IMG-20240428-WA0035.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom