Hivyo vigari kutembea Kwa rpm kubwa ni kawaida hasa isiyo na turboHello wana JF,
Naomba mtu anayefahamu fundi wa Mitsubishi anisaidie kwa Arusha.
Gari inachelewa sana kubadili gear na inatembea kwa rpm kubwa sana kwa speed ndogo na kuna muda inakosa nguvu kabisa.
Asanteni sana.
Hii ina turbo boss na sasa hivi tatizo limezidi kwenye kamwinuko kidogo tu D haisogezi mpaka 2 au L.Hivyo vigari kutembea Kwa rpm kubwa ni kawaida hasa isiyo na turbo
Imeua gear control box,badili utanishukuruHii ina turbo boss na sasa hivi tatizo limezidi kwenye kamwinuko kidogo tu D haisogezi mpaka 2 au L.
Shukrani mkuu ngoja nitafuteImeua gear control box,badili utanishukuru
Unaweza kuta shida plugs, au coil, cheki na fundi,Hii ina turbo boss na sasa hivi tatizo limezidi kwenye kamwinuko kidogo tu D haisogezi mpaka 2 au L.
Shukrani mkuu Nimebadili plugs naUnaweza kuta shida plugs, au coil, cheki na fundi,