Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,554
Wakuu,amani iwe nanyi.
Naombeni ushauri,kuna kasenti nimekanyaka mahali nataka kununua gari lakini sina uzoefu wa hizi gari mbili; Subaru Forester turbo 2004 Vs Nissan Xtrail. Kipindi hiki gari ni muhimu,siyo anasa. Nataka kununua moja wapo kati ya hizi. Mm no mtu wa kwenda field (rough roads) sana. Ipi n gari nzuri interms of;
1. Fuel Consumption
2. Uimara (durability)
3. Comfortability barabarani at high speed. Maana mm mtu wa mwendo kasi
4. Gharama za spare parts na upatikanaji. Na mafundi
5. Speed
6. Heshima mtaani..maana mimi ni wa kaskazini.
Asanteni jamani.