Naomba msaada wa kutatua tatizo la kuzima ghafla kwa gari hii Toyota Brevis

Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
2,618
3,084
Habarini Kwema !!!, na gari yangu aina ya Toyota Brevis nilinunua kwa mtu hii gari shida yake kubwa nikiwa naiendesha inazima tu gafra yani cjajua shida nn mana nilinunua mwezi wa 6 mwaka huu ilikuwa vzr tu.

Nilisafiri nayo kutoka Njombe kwenda Kyela kutoka kyela kwenda Dodoma nikatoka Dodoma nikaja nayo Dar ilikuwa poa tuu ila now nipo Dar kimara Suka ndo imeanza niletea manjegeka haya msaada....Nahitaji fundi mzuri wa kuweza kuni fixia hi gari yangu...
 
Eti manjegeka, gari za mkononi sitaki hata kuzisikia, gari yangu ya kwanza ilinitesa sana. Alaf mafundi wakawa wanapiga ramli tu, mpka nilibadilisha gearbox kumbe shida ilikuwa ni control box.

Kikubwa kafanye diagnosis kwa mashine ujue shida, ukisikliza mafundi wa chini ya mwembe watakutia hasara mpaka ujute!
 
Zingatia mawazo ya wadu hapo juu, hayo magar hayata ukanjanja, inahitaji vipimo kwanza kabla ya tiba, na usiruhusu fundi afananishe matatizo yako na ya gari nyingine.

Matatizo yanaweza kufanana ila sababu zinaweza kuwa tofauti, na hapo ndo hujaga kusema baada ya kushindwa, hii gari yako sijui ipoje....kuna gari ilikuwa na shida kama hii tulifanya hiv na ikapona, epuka mafundi wa aina hii mkuu.
 
Habarini Kwema !!!, na gari yangu aina ya Toyota Brevis nilinunua kwa mtu hii gari shida yake kubwa nikiwa naiendesha inazima tu gafra yani cjajua shida nn mana nilinunua mwezi wa 6 mwaka huu ilikuwa vzr tu.

Nilisafiri nayo kutoka Njombe kwenda Kyela kutoka kyela kwenda Dodoma nikatoka Dodoma nikaja nayo Dar ilikuwa poa tuu ila now nipo Dar kimara Suka ndo imeanza niletea manjegeka haya msaada....Nahitaji fundi mzuri wa kuweza kuni fixia hi gari yangu...
Tafuta mtu akupimie akurekebishie tatizo lako. Ukishindwa kabisa nicheck 0622 221 606. Sipo Dar kwa sasa ila nitakuwepo kuanzia J3 ijayo.
 
Habarini Kwema !!!, na gari yangu aina ya Toyota Brevis nilinunua kwa mtu hii gari shida yake kubwa nikiwa naiendesha inazima tu gafra yani cjajua shida nn mana nilinunua mwezi wa 6 mwaka huu ilikuwa vzr tu.

Nilisafiri nayo kutoka Njombe kwenda Kyela kutoka kyela kwenda Dodoma nikatoka Dodoma nikaja nayo Dar ilikuwa poa tuu ila now nipo Dar kimara Suka ndo imeanza niletea manjegeka haya msaada....Nahitaji fundi mzuri wa kuweza kuni fixia hi gari yangu...
Fuel system ,fuel pump, nozzle nk
 
Back
Top Bottom