Naomba Kufahamishwa. Hivi Kongamano la Kumbukizi ya Hayati Sokoine hufanyika kila mwaka au? Mbona kama limepewa uzito sana mwaka huu?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
44,600
51,443

View: https://www.instagram.com/p/C5ptXhRIn7B/?igsh=MW80Ynk5cXV3ZDEwcA==

Mwaka huu imepita miaka 40 tangu kifo Cha Hayati Edward M.Sokoine ambae aliwahi kuwa Waziri Mkuu enzi za Mwalimu na kufariki Kwa ajali ya gari 1984.

Hoja yangu ni kwamba,Je hii kumbukizi Huwa inafanyika Kila mwaka au? Mbona kama mwaka huu imekuwa big issue na big ajenda?

Naona Kongamano lenyewe mgeni Rasmi ni Rais huku Viongozi wote wa Kitaifa wakielekea Arusha.

Mbona sioni Makongamano Kwa Hayati Dr. Omar Ally Juma? What is so special Kwa huyo mjamaa Sokoine?

View: https://www.instagram.com/p/C5paYvCtQuS/?igsh=MW9sZTBzcDN3MThxNw==

My Take
Kumezuka mtindo hapa Tanzania mtu akifia Madarakani inageuka kuwa Sherehe ya Kiserikali.

View: https://www.instagram.com/p/C5plzDSt2qP/?igsh=aXJwMmt4Nnp0NXll
 
Mods huu Uzi msiunganishe.

Mwaka huu imepita miaka 40 tangu kifo Cha Hayati Edward M.Sokoine ambae aliwahi kuwa Waziri Mkuu enzi za Mwalimu na kufariki Kwa ajali ya gari 1984.

Hoja yangu ni kwamba,Je hii kumbukizi Huwa inafanyika Kila mwaka au? Mbona kama mwaka huu imekuwa big issue na big ajenda?

Naona Kongamano lenyewe mgeni Rasmi ni Rais huku Viongozi wote wa Kitaifa wakielekea Arusha.

Mbona sioni Makongamano Kwa Hayati Dr.Omar Ally Juma? What is so special Kwa huyo mjamaa Sokoine?

View: https://www.instagram.com/p/C5paYvCtQuS/?igsh=MW9sZTBzcDN3MThxNw==

My Take
Kumezuka mtindo hapa Tanzania mtu akifia Madarakani inageuka kuwa Sherehe ya Kiserikali.

View: https://www.instagram.com/p/C5pkY_FtiZe/?igsh=azBwY2xjamY5dTA0

Ukisikia kuna aya moja kwa waislamu tena ni sura kabisa ayyatul munaafiq thalatha ndio Raisi wake aliempa ulaji alisusa kimbukizi akamuacha dotto biteko!
 
Mwaka huu imepita miaka 40 tangu kifo Cha Hayati Edward M.Sokoine ambae aliwahi kuwa Waziri Mkuu enzi za Mwalimu na kufariki Kwa ajali ya gari 1984.

Hoja yangu ni kwamba,Je hii kumbukizi Huwa inafanyika Kila mwaka au? Mbona kama mwaka huu imekuwa big issue na big ajenda?

Naona Kongamano lenyewe mgeni Rasmi ni Rais huku Viongozi wote wa Kitaifa wakielekea Arusha.

Mbona sioni Makongamano Kwa Hayati Dr. Omar Ally Juma? What is so special Kwa huyo mjamaa Sokoine?

View: https://www.instagram.com/p/C5paYvCtQuS/?igsh=MW9sZTBzcDN3MThxNw==

My Take
Kumezuka mtindo hapa Tanzania mtu akifia Madarakani inageuka kuwa Sherehe ya Kiserikali.

View: https://www.instagram.com/p/C5pkY_FtiZe/?igsh=azBwY2xjamY5dTA0

Umeambiwa ni ibada maalumu,itakuwa familia imeandaa hiyo ibada na kuwaalika viongozi wa serekali.
 
Back
Top Bottom