Nani alitangulia kati ya Yeriko Nyerere na Nashon C Elia kwenye suala la ujasusi katika dola na uchumi?

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,399
7,672
Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere.
Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
 
Attachments

  • Screenshot_20240504-184944.jpg
    Screenshot_20240504-184944.jpg
    343.9 KB · Views: 3
  • IMG_20240504_184417_407.jpg
    IMG_20240504_184417_407.jpg
    3 MB · Views: 5
Yeriko Nyerere kwenye hiyo sector yupo vizuri, yupo mbali mno na hana mpinzani hapa bongo, pia yupo serious hatanii, anafanya biashara. uchapishaji wake ni wa umakini na ubora, na hata ukisoma ndani unaona unaelewa.
 
IMG_20240504_184417_407.jpg
Jamaa kaandika Dora; sijui ni nini!

Anyway; kumuelewa Yericko Nyerere unatakiwa angalau uwe na elimu ya Diploma (Stashahada) na kuendelea. Ukiwa na Shahada (degree) au Masters (uzamili) itapendeza zaidi.

Ninasema hivi kwa sababu mwenye elimu tajwa hapo juu amepitia na kujifunza jinsi ya kufanya utafiti, kuandaa machapisho, ikiwa ni pamoja na kunukuu machapisho mbalimbali.

Iwapo kama una elimu ya kuunga unga utapata shida sana kuelewa machapisho.
 
Halafu Yericko Nyerere awafungulie mashtaka chatGPT kwa huu ufafanuzi wao wenye nia ovu ya kumgombanisha na wafuasi wenzie wa ufipa. Hii sio sawa. ChatGPT wamekengeuka.
Screenshot_20240504-201817_Chrome.jpg
 
Halafu Yericko Nyerere awafungulie mashtaka chatGPT kwa huu ufafanuzi wao wenye nia ovu ya kumgombanisha na wafuasi wenzie wa ufipa. Hii sio sawa. ChatGPT wamekengeuka.View attachment 2980804
Mr Robot is simply acknowledging an obvious fact, that THE KILIMANJARO SACCOS, with all their brazen pomposity and demagoguery, they are a tributary to CCM, a den of wolves and vipers.

In other words, same coin but different sides. You would be wise, and save yourself a load of trouble if you understand this truth.​
 
View attachment 2980800 Jamaa kaandika Dora; sijui ni nini!

Anyway; kumuelewa Yericko Nyerere unatakiwa angalau uwe na elimu ya Diploma (Stashahada) na kuendelea. Ukiwa na Shahada (degree) au Masters (uzamili) itapendeza zaidi.

Ninasema hivi kwa sababu mwenye elimu tajwa hapo juu amepitia na kujifunza jinsi ya kufanya utafiti, kuandaa machapisho, ikiwa ni pamoja na kunukuu machapisho mbalimbali.

Iwapo kama una elimu ya kuunga unga utapata shida sana kuelewa machapisho.
Wewe humjui Yericko, tunaomjuwa Yericko tunakushangaa, utakuwa mgeni hapa JF.
 
Back
Top Bottom