nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,621
- 2,226
Bado ni cardinal? Nini kimepelekea kichagua cardinary mwingine wakati huyu yupo, Africa kuna nchi gani nyingine yenye cardinal zaidi ya mmoja?Kwenye makazi yake Kurasini
Bado ni cardinal? Nini kimepelekea kichagua cardinary mwingine wakati huyu yupo, Africa kuna nchi gani nyingine yenye cardinal zaidi ya mmoja?Kwenye makazi yake Kurasini
Bado ni cardinal? Nini kimepelekea kichagua cardinary mwingine wakati huyu yupo, Africa kuna nchi gani nyingine yenye cardinal zaidi ya mmoja?
Hajazaliwa Karagwe.
Yaani ni tusi kubwa sana kumfananisha Muhaya na Wanyambo. Jiheshimu huyo kazaliwa Bunena, Bukoba mjini Kagera.
Ugomvi umeisha sasa na huyuKweli Inahuzunisha na inatoa wito kwa wanauoni kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu maswali yafuatayo;
-- KABILA (TRIBE) NI KITU GANI NA SIO KITU GANI?
-- UKOO (CLAN) NI KITU GANI NA SIO KITU GANI?
-- MBARI (RACE) NI KITU GANI NA SIO KITU GANI?
Inaonesha wewe ni mkurupukaji sasa msikilize mwenyeweHajazaliwa Karagwe.
Yaani ni tusi kubwa sana kumfananisha Muhaya na Wanyambo. Jiheshimu huyo kazaliwa Bunena, Bukoba mjini Kagera.
Basi wakae bila kadinali... kama katiba yao hailazimishi hivyo kwanini wafanye hivyo?
... as long as hakuna utaratibu uliokiukwa sidhani kama kuna tatizo.Basi wakae bila kadinali
Iwe leka si bojo.... Kardinali amezaliwa Bunena mwaka 1960 kitongoji Nyaigombe.Pili mwaka 1990 baada ya ziara ya Papa John Paul II kuja Tanzania na kumpa sakrmenti ya upadrisho ndiyo akaletwa Karagwe -Nyaishozi. Pia majina ya Rugambwa,Mutalemwa nk sio majina yetu wanyambo.
Perhaps, maana walimhamishia mzizima na kumpa uandamizi kumuandaa gafla akaja huyo kutoka ughaibuni na kupewaKwanini hakupewa yule aliambiwa amefanyiwa operation ya kichwani.
Yaani duuh
Kama vile ipo namna imefanyika hapo kati!
PowaHatuongelei lafudhi hapa!
Tunaongelea maana ya jina
Mama Amon unahisi walikuwa wanaongea nini hapaView attachment 2685134
Hahahahahahahahahah! Huyo ni Kardinali toka Kijiji cha Kasheshe ambacho kijiji kizima ni ukoo mmoja - WakalazaAlikuwa anamwabia kwamba atapa Ukardinali
Unajisiaje mkuu...Perhaps, maana walimhamishia mzizima na kumpa uandamizi kumuandaa gafla akaja huyo kutoka ughaibuni na kupewa
Anyway Roma ikisema hakuna mjadala
Najisikia vizuri,najivunua ukatolikiUnajisiaje mkuu...
Kardinali wa pili huyo kutoka kagera....
Bado Jimbo la Bukoba linahitaji askofu mpya...
Mchakato wa kulifanya jimbo la Bukoba kuwa jimbo kuu unaendelea
ASKOFU NOVATUS RUGAMBWA HUENDA NAYE AKAWA KARDINALI...MAANA SASA NI NUNSIO
Nimemsikiliza juzi anakiri mwenyewe yéyé ni mnyambo WA karagwe Ila kazaliwa na kukulia bunena kwakuwa baba yake alikuwa mfanyakazi WA afya HapoKardinali Rugambwa kazaliwa bunena hapo bukoba mjini...na shule kasomea hapo bukoba mjini...
Kuhusu kuwa mnyambo sijui mhaya hayo hayana maana hapa...wanyambo ni wahaya kama wahaya wengine...kama unabisha toa tofauti kati ya haya and nyambo
Zingatia:
1. Dhana ya kabila, ukoo au mbari inabadilika kutoka majira hadi majira. Maana Machifu hakuna leo, teritoria za kikabila hakuna tena, mila na desturi zimeyeyuka. Kilichobaki ni historia
2. Leo ukisema "wanyambo ni watu chini ya chifu X katika eneo Y" au "wahaya ni watu chini ya chifu V katika eneo W" unakuwa unachanganya "tenses".
3. Usahihi ni huu: "wanyambo walikuwa ni watu chini ya chifu X katika eneo Y" au "wahaya walikuwa ni watu chini ya chifu V katika eneo W."
4. Wahaya hawakuwa wanyambo na wanyambo hawakuwa wahaya
5. Kwa sasa tunao raia wa Tanzania. Life made easy!
Instanbul,kadinali mwenyewe kakiri yéyé ni mnyambo Ila alizaliwa bunena kwakuwa baba yake alikuwa mfanyakazi WA afya HapoPlace of birth and his origin and identity...hivi vyote ni Bukoba...
Hayo mengi ndo huko karagwe na kwingineko
Rugambwa ni MTU WA karagwe ni mnyambo kakiri mwenyeweWahaya walikuwa na chifu gani hebu tuanzie hapa kwanza..
Mimi sijawahi ona chief au Omukama wa wahaya as whole...
Ukielewa hapa utatofautisha kati ya wahaya etc na kujua unakosea wap
Kadinali mwenyewe kakiri yéyé ni mnyambo,Ila alizaliwa bunena kwakuwa baba yake alikuwa mfanyakazi WA afya HapoMama Amon, with due respect kubali kwamba kuna misinformations umetoa kwenye thread yako. Mtu mwenye hekima na msomi kama unavyojitanabaisha huwa anakiri kosa na siyo kuonekana “JOAT”. Ingekuwa hekima ungejiridhisha na details zote badala ya kushupaza shingo ili tu uonekane mshindi. Umenishangaza sana!