News Alert: Namna ya kuhard reset TECNO SPARK 2

The GT

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
463
526
Ni wiki ya tatu sasa tangu nije hapa jukwani kuomba msaada wa namna ya kuunlock simu tajwa hapo juu baada ya kusahau pattern.Nashukuru sana wengi wenu mlijitahidi kunipa alternatives nyingi mnazozifahamu lakini kwa bahati mbaya hazijanisaidia chochite.
1.Kuendelea kudraw wrong pattern mpaka nitakapoletewa option ya forgot password ili nitumie google account yangu iliyomo kwenye simu kusign in,nimefanya sa
IMG_20180809_130548.jpg
na hilo zoezi lakini sijabahatika kuletewa hiyo option.
2.Ya pili ni kuwa nizime simu,kisha nihold volume up + power button then ikija logo ya TECNO niachie power button huku nikiendelea kushikilia volume up button,nimefanya sana zoezi hilo lakini siletewi RECOVERY MODE,ila ninachoambulia ni hiki kitu kama kitank hivi.
2.Pia kwa utaratibu uleule nikajaribu kuhold volume down+power lakini niliambulia tena kupata hiki kitu image ya USB.Je,nifanyeje wakuu?
IMG_20180809_132119.jpg
 
Mkuu Nitafute Ukiwa Na: Vocha Ya Buku, Laptop + Anydesk Software Ambayo Naweza Kukutumia/Download.
0717421125
 
Mkuu Nitafute Ukiwa Na: Vocha Ya Buku, Laptop + Anydesk Software Ambayo Naweza Kukutumia/Download.
0717421125
mkuu ahsante sana kwa kuonesha nia ya kunisaidia ijapo nitakuchck weekend maana huku niliko kwa sasa laptop ni changamoto.
 
Hapo inaposema no command , shika power + volume up kwapamoja kwa sekunde moja
 
Back
Top Bottom