Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Habari zenu wakuu, naomba msaada nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu kwa mda ila nilikuwa napata matibabu ya kawaida tu sasa mwezi uliopita hali ilikuwa tofauti sana ikanibidi niende hospital ya kwanza wakacheck uti na kipimo cha vdrl ila vdrl ikasoma negative nikakutwa na uti nakachomwa sindano 5 wakasema itasaidia pia kukausha hivyo vipele kwel viliisha ila kama week tena vikaanza upya nikaenda palestina wakacheck damu kubwa ,vdrl na kipimo cha fullblood picture ila hakuna kilichoonekana ila doctor akasema yawezekana wart akanipa dawa inaitwa acyclovir ya kunywa na kupaka kwel vikatulia kama week 2 tena mbele vimeanza ila sasa kwenye uume kuna dalili nyingn kuna anza kuwasha kwenye ngozi alaf panaleta kama kidonda kama sehem mbili na vile vipele vinatoka sehem ya niliposhonwa nyuzi kingine korodani moja imepanda juu alafu kama inakauvimbe ila ukigusa kinapotea na maumivu pia mda mwengin nikikojoa maumivu nayasikia kwenye kichwa cha uume alafu pumbu zinakuwa zinanywea sana ila nikioga maji baridi zinajaa na hivyo vipele huwa vikianza kutoka vinachoma nakuwasha alaf vinatulia naombeni msaada!
Duh pole
 
Dokta mimi nina swali moja tu, nina ndugu yangu, jinsia ya kike ana miakaa 32.yeye ni mwoga kushiriki tendo la ndoa anaogopa maumivu na huwa anajikuta kesha bana miguu je r hili tatizo ni nini na je suluhisho lake ni lipi??
 
Ulitibiwa Ila tatizo ni kwamba vile vichocheo havikutoka / Toxin

Katika Nature
Vidonda au ngozi kuwasha hutokana na Hot toxin invasion or Hot dampness toxin to arrest skin to make blood blockage and prevent nutrients and Oxygen kufikia eneo la vidonda ili kuponya .

Hospitali watasaidia kukausha lakini vile vichocheo hawawezi kuvitoa , hata labs haziwezi detect hiyo maana hutokana na Energy imbalance ni Toxin

Katika nature tunaondoa hiyo toxin au kichocheo cha tatizo , Kisha lazima kurudishia nishati iliyopungua ili kuleta usawa na kufanya afya kutokea , tatizo hilo haliwezi rudi !

Cont : +255757577995 www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
a1e8db8d-bb88-4a80-998f-785c78412ba9.jpg
 
Dokta mimi nina swali moja tu, nina ndugu yangu, jinsia ya kike ana miakaa 32.yeye ni mwoga kushiriki tendo la ndoa anaogopa maumivu na huwa anajikuta kesha bana miguu je r hili tatizo ni nini na je suluhisho lake ni lipi??
Dokta mbona mpo kiimya
 
Msaada wadau hili tatizo la mguu kutokwa na kama vipele na uvimbe... Chanzo na tiba ni nn Maana tumeenda Sana hospitals zetu tunapewa tuh dawa na hatuambiwi chanzo wala ni ugonjwa gani.
 
Attachments

  • DSC_1080.JPG
    DSC_1080.JPG
    1.5 MB · Views: 3
Good work, nimependa sana majibu yako doctor, mimi kijana wa 33yrs, natumia dawa za pressure kwa muda sasa, nataka kujua zinafanyaje kazi na je zinapelekea kupona pressure kweli?
 
Attachments

  • IMG_20240424_200129_149.jpg
    IMG_20240424_200129_149.jpg
    4.4 MB · Views: 3
  • IMG_20240329_114653_576.jpg
    IMG_20240329_114653_576.jpg
    4 MB · Views: 4
  • IMG_20240329_114634_712.jpg
    IMG_20240329_114634_712.jpg
    4 MB · Views: 3
  • IMG_20240424_200129_149.jpg
    IMG_20240424_200129_149.jpg
    4.4 MB · Views: 3
  • IMG_20240329_114653_576.jpg
    IMG_20240329_114653_576.jpg
    4 MB · Views: 3
Huyu mgonjwa pia Ana tatizo la presha ya macho inawezekana ikawa inachangia??
Ndiyo.Unaposema presha maana yake chanzo kikuu huwa ni kwenye moyo.Moyo wenyewe pamoja na mishipa yake mikuu inayotoa ama kuingiza damu kwenye moyo pamoja na mishipa mingine midogomidogo inayosambaza damu sehemu mbalimbali za mwili.Vyote hivi vinatakiwa kuwa kwenye utimamu wake,vinginevyo kasoro mojawapo katika hivyo inaweza kusababisha presha.Lakini pia kuna magonjwa ya kisukari ambayo nayo huchochea utendaji hafifu wa neva za macho na hivyo kusababisha presha ya macho na pengine uono hafifu.
 
Dr Restart Shida huwa inakua nini mpaka mtu akitembea umbali mrefu wastani, anapata tatizo la kuwashwa na miguu, akijikuna hajui akune wapi sababu akikuna hapa panawasha pale. Muwasho unaacha dakika chache mbele baada ya kuacha kutembea.
 
Pole.

Unapotembea mirija ya damu hutanuka ili kuruhusu usafirishaji wa damu kwenda miguuni.

Na kutanuka huko kunapeleka taarifa kwenye ubongo na kuachia kemikali asili iitwayo histamine..

Kemikali hii husaidia mwili kutochoka haraka. Lakini muda mwingine husababisha huo muwasho. Na ndiyo maana ukitaka kukuna huku, inakimbilia kwingine. Inakuwa kama mzio (allergy)hivi.

Unapoacha kutembea, maana yake ile mirija inarelax na kemikali hiyo huacha kuwa released na ndiyo unaona muwasho unapotea.
 
Mbona wengine hawapati,
 
Juzi nilispray ndan, dawa ya mbu rungu, Sasa nilipolala asubuh nilipoamka nilipata mafua makali na kichwa kilinigonga sana,

Mafua yamepona ila kichwa kinanigonga sana,hadi mishipa inatoka

Itakua kwasababu ya hiihii dawa au niliyo spray au ?
 
Back
Top Bottom