Nahitaji kubadilisha Sport rims za gari yangu

taekwondo

Senior Member
Oct 6, 2016
125
210
Habari zenu wana JF.

Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims.

Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or mbili kwa mwaka. Nasikia hizi sport rims za dukani huwezi tumia katika route ndefu.Je kuna ukweli wowote?

Naomba msaada wenu kufahamu tafadhari
 
Inategemea na hizo unazotaka kureplace, kawaida rims za dukani sio imara sana kulinganisha na zinazokuja na gari au za mtumba.

Saying so doesn't mean hazifai kwa route ndefu kama unavosema ila sio imara kwny mashimo unapokuwa mwendo unaweza kukata rim.
 
Nashukuru kwa feedback yako mkuu
 
Inategemea na hizo unazotaka kureplace, kawaida rims za dukani sio imara sana kulinganisha na zinazokuja na gari au za mtumba.

Saying so doesn't mean hazifai kwa route ndefu kama unavosema ila sio imara kwny mashimo unapokuwa mwendo unaweza kukata rim.
Hapo awe makini....watu wanachukua rim za kichina anazitumia kidogo then zinaingia sokoni...utaambiwa hizi ni used bei mlima. .kumbe za kichina
 
Fanya hivi, nunua sport rim na tyre mpya then zile rim zako za chuma utakazovua unaweka ndani, ikitokea siku una safari ya mkoani unavunga rim zako za chuma na ukirudi mjini unaweka hiyo mihogo(sport rim)
 
Back
Top Bottom