Kama muislam tafuta mashee wa kufanyie duanipo dsm,mm ni muslim
Nikupe koneksheni ya mtaalam?Nilipata kazi 2020 kweny kampuni X maaruf sana hapa Tz nashukuru Mola mambo yangu yalinyooka saaana vijisent vidg vdg havikuwa vikwazo tena kwangu
Ghafla mwaka jana 2022 mwez wa 12 nikasimamishwa kaz kwa kosa ambalo mpk na leo sielewi bado nikatapeliwa milion 1.4 na kampuni yangu huku mikosi inaniandama nikipata pesa hazikai kila lolote nifanyalo halifanikiwi.
kuna siku nilishawah kukuta mbegu 3 juu ya mlango seblen kibaya zaid nina ndugu zangu ambao nimeshare nao baba hawapendi kuniona ninafanikiwa hasa huyu mmoja ndio nilikuw nakaa nae jiran ni kaka angu yeye ni askar police lkn kajawa na chuki na wivu siku zote hawa ndugu zangu wanapenda mm niwe wakuteseka tu.
ila kila mtu alikuw na familia yake na mji wake ila saiv kahamia kota za barracks toka mwaka jana mwez wa 4 lkn jamaa huyu haachi kunisemea ubaya kwa watu na kudai mm mzee wetu ananipendelea sana kuliko wao ila kiuhalisia haipo hvyo ni chuki tu zimemtawala na tumekuw wote toka wadogo nafaham tabia zao za chuki na alivyohama hakuwah kuniaga yeye hata mkewe ilifika kipind hata mtoto wao alishawahi kusema "mama amenikataza nisije kwa baba mdogo" tena akiwa na mama ake mm na mke wangu tukaishia kucheka tu nakupotezea
mara nyingi ndugu yangu nishawah kumchana tabia yake ya chuki na roho mbaya anaeza kumpigia cm mama ake jamaa akaongea uongo uongo juu yangu hata mama ake pia hanipend japo kanilea lkn ni mtu aliekuwa na chuki na mm za kmy kmy na mm hilo nalifaham sna.
NIFANYAJE HAPO KUJIKWAMUA KWAMAAN NAHIS KM KUNA MCHEZO NINAOFANYIWA AMBAPO SIELEW MAMBO YANGU YANAFELI GHAFLA PESA SIZIONI NA NIKIPATA HAZIKAI NIKIENDA KUFANYA INTERVW ZA KAZ NAONA MATUMAINI KABISA LKN SIITWI WALA MREJESHO WWT
SIJUI NIFANYE NINI HAPO AKILI YANGU IMEKOSA KUFIKIRI ZAID BADO FAMILIA INANIANGALIA MAMBO YAMEYUMBA SAN MPK SAS NAANZA KUUZA VITU VYA NDANI ILI NIPATE KULISHA MKE NA MTOTO WANGU
Mm siku izi nachukia kazi za kuajiriwa..... Sizipendi Kaz za laki 2 na nusu mpk 1m labda kama ni kwame kabisa...Nilipata kazi 2020 kweny kampuni X maaruf sana hapa Tz nashukuru Mola mambo yangu yalinyooka saaana vijisent vidg vdg havikuwa vikwazo tena kwangu
Ghafla mwaka jana 2022 mwez wa 12 nikasimamishwa kaz kwa kosa ambalo mpk na leo sielewi bado nikatapeliwa milion 1.4 na kampuni yangu huku mikosi inaniandama nikipata pesa hazikai kila lolote nifanyalo halifanikiwi.
kuna siku nilishawah kukuta mbegu 3 juu ya mlango seblen kibaya zaid nina ndugu zangu ambao nimeshare nao baba hawapendi kuniona ninafanikiwa hasa huyu mmoja ndio nilikuw nakaa nae jiran ni kaka angu yeye ni askar police lkn kajawa na chuki na wivu siku zote hawa ndugu zangu wanapenda mm niwe wakuteseka tu.
ila kila mtu alikuw na familia yake na mji wake ila saiv kahamia kota za barracks toka mwaka jana mwez wa 4 lkn jamaa huyu haachi kunisemea ubaya kwa watu na kudai mm mzee wetu ananipendelea sana kuliko wao ila kiuhalisia haipo hvyo ni chuki tu zimemtawala na tumekuw wote toka wadogo nafaham tabia zao za chuki na alivyohama hakuwah kuniaga yeye hata mkewe ilifika kipind hata mtoto wao alishawahi kusema "mama amenikataza nisije kwa baba mdogo" tena akiwa na mama ake mm na mke wangu tukaishia kucheka tu nakupotezea
mara nyingi ndugu yangu nishawah kumchana tabia yake ya chuki na roho mbaya anaeza kumpigia cm mama ake jamaa akaongea uongo uongo juu yangu hata mama ake pia hanipend japo kanilea lkn ni mtu aliekuwa na chuki na mm za kmy kmy na mm hilo nalifaham sna.
NIFANYAJE HAPO KUJIKWAMUA KWAMAAN NAHIS KM KUNA MCHEZO NINAOFANYIWA AMBAPO SIELEW MAMBO YANGU YANAFELI GHAFLA PESA SIZIONI NA NIKIPATA HAZIKAI NIKIENDA KUFANYA INTERVW ZA KAZ NAONA MATUMAINI KABISA LKN SIITWI WALA MREJESHO WWT
SIJUI NIFANYE NINI HAPO AKILI YANGU IMEKOSA KUFIKIRI ZAID BADO FAMILIA INANIANGALIA MAMBO YAMEYUMBA SAN MPK SAS NAANZA KUUZA VITU VYA NDANI ILI NIPATE KULISHA MKE NA MTOTO WANGU
Yatapita ....kuwa na Imani na endelea kumtegemea M/ Mungu pasipo kukata tamaa kwenye utafutaji..... Pia kabla hujatafuta ma sheikh kukuombea dua unapaswa kujiombea mwnyw kwanza....funga suna amka usiku swali mlilie M/Mungu hakika utafanikiwa na palipo fungwa patafunguka...Inshaallah
Nilipata kazi 2020 kweny kampuni X maaruf sana hapa Tz nashukuru Mola mambo yangu yalinyooka saaana vijisent vidg vdg havikuwa vikwazo tena kwangu