Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,390
- 4,244
- Thread starter
- #61
Ni muda muafaka tuanze kufanya mambo mtambuka sio tu burudani kila muda.Hizi nyuzi zako zina amsha amsha ya kufanya watu waangalie mambo katika sura nyingine.
Dunia imejaa nadharia nyingi sana ambazo hazijafanyiwa kazi.
Tatizo ni namna ya kuzing'amua.
Mfano mzuri ni, Elon Musk anavyofanya mambo kwa mtazamo/nadharia tofauti na ile iliyozoeleka....hii inaonesha yako mambo mengi sana ila yote yanategemea uwezo wa kifikra wa binadamu kùyafanya bayana.
Ahsante mkuu
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app