Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,367
- 4,989
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu.
MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu.
Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100 nyumbani kwake, Mtaa wa Mdote. Mgeni rasmi alikuwa Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif na ilihudhuriwa pia na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo.
Nipashe
Jina la Bwana lihimidiwe