Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Daa Mmenikumbusha Marehem Max jamaa alikuwa next king after Majuto. Majuto yupo juu ila mrithi wake ni Joti.
 
Ki- King Majuto To- tone la maji Ji- Jitu la kale le-..... Huyu babu hachuji mpaka tukiwa watoto tulikuwa tunamwimba na mpka sasa binafs schoki kumtizama na vimbwanga vyake!
 
japo kwa mstari mmoja tu.. .sio vibaya ukamsifia hapa huyu babu...au chochote kinachokupendeza kuhusu yeye!

BINASI: Namuona kama bonge la comedian...akicheka tu na mm nimecheka!
 
Majuto anaweza kuchekesha isipokuwa analazimisha kuchekesha.

Alianza kazi hii siku nyingi. Alikuwa akifanyia maigizo yake (kwa kiingilio) mitaani, ktk shule za msingi, na ktk majukwaa wakati wa sikukuu km sabasaba, mjini Tanga.

Ni mtunzi wa, takriban, michezo yote anayoshiriki.

Ni hodari wa kubuni kichekecho papo kwa papo.
 
Sipendi comedy zake, I dont find them funny.

Nakuunga mkono sijawahi kufurahishwa naye...labda kwa vile sio mtu wa pwani na ninayependa matusi......75% ya comedy zake huwezi kuangalia ukiwa na watoto zako au wakwe zako.......yeye alikuwa ni kizazi cha maigizo ya redio wakati huo.. the same na Mzee Jangala
 
Majuto ni zaidi ya umjuavyo! Nikikumbuka picha moja alimwambia mke wake leo naenda sokoni na hii hii elfu mbili niangalie kama nitapata nyama,firigisi,biringanya,hoho,nk nilichoka duh mzee unaweza kukaa naye hata kabla ya yeye kuongea lazima ucheke kwa jinsi alivyo!
 
Majuto,Small wote ni makomedian wazuri sana ndani ya nchi yetu but they mis ril gud script writer sababu maigizo yao utaona kama vitu wanavifikiria palepale so most of the time not funny.

Hata mr bean anafata script nakuongeza uchale wake katika acting kitu ambacho majuto na small wanavyo sanaa( uchale)They are really my favourite comedians in TZ but I wish they could get somebody to write good jokes for them coz they can perform.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom