Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
618
1,803
Mwombaji wa kwanza wa hifadhi amepelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza.

Mtu huyo ambaye hajatajwa jina amekwenda Kigali baada ya kupewa pauni 3,000 ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kuwalipa kila muomba hifadhi nchini humo atakayekubali kwenda Rwanda chini ya mpango wa hiari wa kusaidia kuondoa mrundikano wa wahamiaji ambao maombi yao bado yamekataliwa.

Mpango huu wa hiari ni tofauti na mpango wa kuwafukuza kwa nguvu watafuta hifadhi ambao Uingereza inakusudia kuanza katika miezi michache ijayo, ukilenga kuzuia wahamiaji wanaowasili kupitia Bahari ya Atlantiki ili kuishi Uingereza.

Chini ya mpango wa hiari, serikali imesema italipa waombaji hifadhi hadi pauni 3,000 ($3,747.60) kila mmoja kuhamia Rwanda ili kusaidia kuondoa msongamano wa wakimbizi waliofika nchini miaka ya hivi karibuni.

Rishi Sunak.jpg

Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amekuwa akiutetea mpango wake wa kuwapeleka waombaji hifadhi nchini Rwanda.

=========

Britain has sent its first asylum seeker to Rwanda under a voluntary scheme, The Sun Newspaper reported on Tuesday, saying the unnamed migrant was flown out of the country on Monday.

The voluntary scheme is separate to a forced deportation programme that Britain is about to embark on in the next few months, seeking to deter asylum seekers from crossing the English Channel in small boats to live in Britain.

Under the voluntary scheme the government has said it would pay asylum seekers up to 3,000 pounds ($3,747.60) each to move to Rwanda to help clear the backlog of refugees who have arrived in the country in recent years.

This new agreement is part of an existing government policy, where asylum seekers are offered financial assistance to leave Britain for their home country, but under this plan people will get the money if they agree to live in Rwanda.

A government spokesperson said they were able to send asylum seekers to Rwanda under its migration and economic development partnership.

"This deal allows people with no immigration status in the UK to be relocated to a safe third country where they will be supported to rebuild their lives,” the spokesperson said.

Tens of thousands of people have arrived in Britain in small boats since 2018, with many fleeing war or famine and travelling through Europe to Britain.

In response, the government has spent two years trying to overcome legal and political opposition to the policy of sending asylum seekers to Rwanda, some 6,400 km (4,000 miles) away, which it hopes will act as a deterrent.
Parliament finally passed the divisive legislation last week and Prime Minister Rishi Sunak has said he expected the first flights to take off in 10 to 12 weeks.

One organisation which works with asylum seekers said on X that they were protesting outside an immigration processing centre in south London to prevent a forced removal from the building. Media reports have said authorities will start collecting people soon for the first deportation flights to Rwanda.

A British government document published on Monday showed that the first asylum seekers to be deported from Britain to Rwanda would come from a group of 5,700 people that Kigali has agreed in principle to take.

But the document suggested the government would only be able to easily detain just over 2,000 of these.

Under the forced deportation scheme, anyone who has arrived illegally after Jan. 1, 2022, is eligible to be deported to Rwanda. More than 50,000 people have arrived since that date, official figures show.

Reuters

PIA, SOMA:

- Uingereza kuwalipa wakimbizi takribani Tsh. Milioni 9 kila mmoja ili wakubali kuhamia Rwanda
 
Rwanda yenyewe ndogo kwahio hao wageni wao pia ni wageni wetu....; Nadhani tuendelee na utaratibu wa mkimbizi atakapokimbilia ndio aendelee kuwepo na sio kuwa-ship somewhere else..., na kwa pesa hizo tutegemee asylums ambao ni economically motivated
 
Mkuu wazo la kupeleka asylum Rwanda lilianzaga Denmark. Uingereza wameiga tu. Sasa hivi hao wakimbizi wanakimbilia Ireland. Mimi nina permanent residence karibuni nitapata sheria kubwa passport kunirudisha hawataweza. Nampango wakishanipa uraia tu naenda kunya hadharani Langoni bungeni mbrrr mbrrrr mbrr najua hawatanirudisha wala kurevoke passport yangu bali watanipeleka mental hospital kwa msaada zaidi wakati niko timamu.
Tabia za Waswahili. Hamuachi...khaaa

Back to Rwanda issue ni hivi hao Wakimbizi hawatakaa Rwanda Kagame atawasukumia Tanzania kwenye shamba la bibi. TPDF wakae macho
 
Mkuu wazo la kupeleka asylum Rwanda lilianzaga Denmark. Uingereza wameiga tu. Sasa hivi hao wakimbizi wanakimbilia Ireland. Mimi nina permanent residence karibuni nitapata sheria kubwa passport kunirudisha hawataweza. Nampango wakishanipa uraia tu naenda kunya hadharani Langoni bungeni mbrrr mbrrrr mbrr najua hawatanirudisha wala kurevoke passport yangu bali watanipeleka mental hospital kwa msaada zaidi wakati niko timamu.
Haujawahi kabisa kuandika chochote pasipo kuhusisha mavi 🤒😎
 
Mkuu wazo la kupeleka asylum Rwanda lilianzaga Denmark. Uingereza wameiga tu. Sasa hivi hao wakimbizi wanakimbilia Ireland. Mimi nina permanent residence karibuni nitapata sheria kubwa passport kunirudisha hawataweza. Nampango wakishanipa uraia tu naenda kunya hadharani Langoni bungeni mbrrr mbrrrr mbrr najua hawatanirudisha wala kurevoke passport yangu bali watanipeleka mental hospital kwa msaada zaidi wakati niko timamu.
Maghayo , sasa mbona waandika point mzuri kisha waiharibu?

Vipi Copenhagen hapo jua limetoka?
 
Minister said it is cheaper to send migrants to Rwanda than to support them in Britain, even after giving them money and flights.
Ni zile gharama za mahoteli na chakula. Wahindi wenye nyumba, mahoteli kama ile ya Ibis wamepiga sana hela. Ila gharama zimekuwa kubwa.

Ndo wamepiga deal na PK na Rwanda imevuta pesa ya kutosha.

Akili kichwani.
 
Mkuu wazo la kupeleka asylum Rwanda lilianzaga Denmark. Uingereza wameiga tu. Sasa hivi hao wakimbizi wanakimbilia Ireland. Mimi nina permanent residence karibuni nitapata sheria kubwa passport kunirudisha hawataweza. Nampango wakishanipa uraia tu naenda kunya hadharani Langoni bungeni mbrrr mbrrrr mbrr najua hawatanirudisha wala kurevoke passport yangu bali watanipeleka mental hospital kwa msaada zaidi wakati niko timamu.

usije kupelekwa kwa mashoga tu :p :p
 
Ni zile gharama za mahoteli na chakula. Wahindi wenye nyumba, mahoteli kama ile ya Ibis wamepiga sana hela. Ila gharama zimekuwa kubwa.

Ndo wamepiga deal na PK na Rwanda imevuta pesa ya kutosha.

Akili kichwani.

Hii deal ninavyoona kuna siku itamtokea puani PK , Mzungu hatoi pesa yake ukafaidika hata siku moja, Time will tell , hifadhi haya maneno , tukiwa hai utakuja kuniambia
 
Hii deal ninavyoona kuna siku itamtokea puani PK , Mzungu hatoi pesa yake ukafaidika hata siku moja, Time will tell , hifadhi haya maneno , tukiwa hai utakuja kuniambia
Wazungu wa UK wamepiga kelele kuhusu utawala wa PK kuhusiana na haki za binadamu lakini ni double standard ndo yatawala Dunia kwa sasa.

Hata wanasheria wa haki za binadamu wamepigwa mkwara wamefyata.

Isitoshe pale Uingereza kila mwaka wa uchaguzi wahafidhina hutumia kete ya uhamiaji kutafuta kura.

Lakini safari hii vyombo vingi vya habari na vile vinofanya kura ya maoni vimetabiri wahafidhina kushindwa vibaya.

PK atachofanya ni kutumia fedha hizo kujiimarisha khasa kwenye usalama kwa kununua vyombo vya kısasa zaidi khasa ADS.

Usisahau pia Rwanda yaingiza mapato kupitia utalii unotokana na ile Visit Rwanda.

Wa Tanzania kupitia balozi zetu tupotupo tu twashangaashangaa.
 
Back
Top Bottom