Mwenye manual ya Rav4 ya kizungu...!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Hali zenu JF!
Yaani nmekua napata usumbufu kweli.
Huyu fundi muda mwingi ananidanganya sana. Kitabu nlipewa cha lugha ya Japanes....nakua nashindwa kuelewa vizuri.

Naomba alie nacho nikakipigishe photocopy au aniuzie kama akiweza!.
Kila mahala kichwa kinauma, yaan......!!!!!!!!

Nataabika!
 
Nahitaji kujua gari hiyo vzuri. Maana muda mwingi nakua tegemezi...hadi nimuulize fundi.

Vitu vingine natumia uzoefu wa udereva. So! Nkiwa na manual ya kizungu ntajua ufafanuzi zaidi.
 
nahitaji kujua gari hiyo vzuri.
Maana muda mwingi nakua tegemezi...hadi nimuulize fundi.
Vitu vingine natumia uzoefu wa udereva.
So! Nkiwa na manual ya kizungu ntajua ufafanuzi zaidi.

Search kwenye Ebay "Manual for Toyota Rav 4" utapata.
 
Back
Top Bottom