Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,087
71,520
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
 
Goo goo Lissu, !!! Huna baya na Mtu, na hii ndio siasa !!.

Hoja zako nzito, zinajibiwa na Vichwa maji Akina Nape , Et Makala, ndio anakujibu??.

Endelea kukiwashaa, Hofu yangu ni juu ya Elimu na Hisia za Utaifa, unazozipandikiza Kwa Wazanzibar , kwakua waliupata uhuru Kwa mapinduzi,,, Hisia unazowapandikizia, Sasa zitaenda kuwafanya waidai Zanzibar !!.( Kwa Faida ya Muungano , TISS zidisheni shughuli Ndani ya Zanzibar... Bila hivo, yaliotokea Kwa Mwarabu, yatatokea Kwa Mkoloni mtanganyika ).

Msimamo wangu ni kua :Kivyovyote vile, Zanzibar ni lazima iwe Mkoa wa Tanzania , yaan Nchi Moja, Serikali Moja.

Tuachane na Hilo, nimechomekea tu...

Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi , Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha , Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakua wako na MAKONDA, jembe , Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme ,wanasikilizwa, wanajaliwa ,,,, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku , Moja haikai ,mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza , hawana mbinu za kupambana na Lissu !! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA !!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
CHADEMA waliumia sana Makonda alipopewa Uenezi. Wakaungana na wahuni kujenga presha atolewe ili wapumue. Jamaa alijua kupiga home and away. Chama cha hoja act wazalendo nacho ndio ivyo Tena 😁 😁
 
CHADEMA waliumia sana makonda alipopewa Uenezi. Wakaungana na wahuni kujenga presha atolewe ili wapumue. Jamaa alijua kupiga home and away. Chama cha hoja act wazalendo nacho ndio ivyo Tena 😁 😁
Jamaa walijua nguvu ya Makonda, ndio maana unaona Juhudi kubwa zilifanyika Kwa Chawa wa Mama, Timu Msoga na UPINZANI kuhakikisha wanaongeza preshaaa ili atolewe Uenezi !!.

Sasa Makonda ni RC, UPINZANI Arusha umepotea, Sasa UPINZANI umejikita kupiga KO tu , na Lissu anawapiga kwelikweli , ni mwendo wa Hoja na Ukweli, Hoja na Ukweli.

Lissu kahamisha upepo wotee, kutoka mitandao yote ya Jamii kufatilia CCM ya Makonda, Hadi kufikia utazamaji sifuri wa CCM ya Makala , Kwa sasa Lissu kateka mitandao yote ya Kijamii.

Mama anahaha, Chawa wanahaha, Msoga wanahaha.
 
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Makonda ana kitu!!

Sema mapito ya utotoni Hadi kujipata ndio vinamtesa jamaa!!

Hayo ndio madhara ya ku hustle sana,Dunia Haina huruma it's ku transform kuwa mwingine tofauti na uhalisia wako!!

Mungu amsaidie makonda kiroho na kinafsi!
 
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Acheni kushabikia upumbavu!! Zile za kuingia na mikokoteni ndiyo mnaona siasa?

Hivi nyie vichwa vyenu vina akili au vimejaza kamasi?
 
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Nimeamini Tanganyika uchawi upo,eti Makalla naye ni katibu mwenezi CCM 🥺😳😳

Niliamini uchawi Tanganyika hupo baada ya kuona Samia kamuacha Makonda na kumchua Makalla kuwa katibu mwenezi CCM, sijui Samia alitumia kigezo kipi ila aliyemshauli kama yupo alichemka sana, Makalla hata kupangilia hoja hajui,hata mvuto wa watu hana, Sasahivi hata ukiuliza mwananchi huku mtaani mwenezi wa CCM ni yupi,wanakwambi hatumjui mpaka wengine bado wanajua bado ni Makonda.Samia bora mala mia hiki cheo angelimpa All Happy,kwa Makalla CCM itageuka mkaa, Maana kwa kiruga chetu Makalla ni mkaa 😂🤣🤣.
 
Mmekaa sitting room za waume za dada zenu mmenunuliwa bando na shemej, mnakuja jf mnaandika utoto...
Hakuna nyakati nzuri chadema walifurahi na kuinjoi kama konda kupewa Uenezi ndani ya chama, ilikuwa moja kati ya upuuzi uliofanyika ndan ya chama. The moment wanakuja kushituka dogo kashakunya sehemu nyingi...
Hata huko kwa wadudu amepewa awaongoze kwa masharti tu, mwaka hauishi anarudi kitaa...
 
Jamaa walijua nguvu ya Makonda, ndio maana unaona Juhudi kubwa zilifanyika Kwa Chawa wa Mama, Timu Msoga na UPINZANI kuhakikisha wanaongeza preshaaa ili atolewe Uenezi !!.

Sasa Makonda ni RC, UPINZANI Arusha umepotea, Sasa UPINZANI umejikita kupiga KO tu , na Lissu anawapiga kwelikweli , ni mwendo wa Hoja na Ukweli, Hoja na Ukweli.

Lissu kahamisha upepo wotee, kutoka mitandao yote ya Jamii kufatilia CCM ya Makonda, Hadi kufikia utazamaji sifuri wa CCM ya Makala , Kwa sasa Lissu kateka mitandao yote ya Kijamii.

Mama anahaha, Chawa wanahaha, Msoga wanahaha.
Siasa za kizazi Cha Leo zinahitaji ubunifu na uwezo binafsi kichwani. Sio Siasa za mazoea za enzi za kina Mangula na Jaka Mwambi.
 
Mpumbavu wewe hata darasa la 7 hujasoma, bado na wewe unataka ushiriki kuandika humu. Angalia ulivyoandika kama bata anahara
😁😁 ona sasa unavyodhihirisha ujinga wako, Darasa la ngapi sasa ndio aandike humu?

Jinga sana wewe
 
Mmekaa sitting room za waume za dada zenu mmenunuliwa bando na shemej, mnakuja jf mnaandika utoto...
Hakuna nyakati nzuri chadema walifurahi na kuinjoi kama konda kupewa Uenezi ndani ya chama, ilikuwa moja kati ya upuuzi uliofanyika ndan ya chama. The moment wanakuja kushituka dogo kashakunya sehemu nyingi...
Hata huko kwa wadudu amepewa awaongoze kwa masharti tu, mwaka hauishi anarudi kitaa...
Nyinyi si mnataka mandondocha viongozi wasio jielewa kazi yao kubwa ni mchwa wanatafuna na kuharibu tu mkiona mtu anasimama kutetea wananchi mnaona tonge linachukuliwa mnatafuta ndondocha ...ila kaeni mkujua yanamwisho mtazitema tu km kipimi cha JPM
 
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Hamjatosheka na wadudu?
 
Sasa Makala na Nchimbi wana mvuto gani hata watu wakawasikilize?
Kwanza kuongea kwenyewe tu hawajui!
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
 
Mim sasa bando langu kutwa a kufatilia Arusha kuna nini.kwa hio napenda sana kuingia youtube kwa milanrd au yuke dgitali tv, basi tu navutiwa na matukio yote ya arusha.automatically huwa tu nataka kujua leo arusha nini kimejiri
 
Back
Top Bottom