Mwasiti anyang'anywa Benzi alilokuwa akiendesha, mwenyewe azungumza

Itakuwa alimpiga ndele mwenzake si unajua mtu wa kigoma yule binamu.Maana kwa akili ya kawaida kabisa unaanzaje kuonga gari Mwasiti?!


Mkuu acha masihara hayo. Huwezi kujua kwa nini amehongwa Benz. Nilikuwa na demu yaani kwa umbile na sura kama Mwasiti. Huyo msichana ni mjuzi balaa yaani si mchezo. Nimefanya ngono na warembo wa kila aina wenye chura na sura za nguvu lakini hawajawahi kumpata huyo demu. Pia hata sasa nimeoa lakini wife hajawahi kumfikia hata kidogo. Kwa hiyo haya mambo ya URODA yaone hivi hivi yana siri kubwa sana..
 
Mkuu acha masihara hayo. Huwezi kujua kwa nini amehongwa Benz. Nilikuwa na demu yaani kwa umbile na sura kam Mwasiti. Huyo msichana ni mjuzi balaa yaani si mchezo. Nimefanya ngono na warembo wa kila aina wenye chura na sura za nguvu lakini hawajawahi kumpata huyo demu. Pia hata sasa nimeoa lakini wife hajawahi kumfikia hata kidogo. Kwa hiyo haya mambo ya URODA yaone hivi hivi yana siri kubwa sana..
Na wewe ukaonga gari?!

Wanaobabaishwa na mapenzi eti kisa demu mtundu kitandani ni wale ambao walichelewa kuingia kwenye sayari Ya mapenzi ndio maana wakipata demu mtundu wanapagawa na kuonga kila walichonacho.

Ila kama ushakutana na mademu watundu wengi huwezi kurushwa roho na demu mtundu hata siku moja.

Mimi binafsi demu akiwa mtundu kitandani huwa agusi kabisa moyo Wangu nitapiga na ntaenda maana kwanza nishapiga watundu wengi na cha pili huwa namuona malaya mwenye kujua mengi so huko mbele Ya safari atakwenda kunisumbua
 
Kuna stori nilipewa kuwa kuna jamaa alishawahi kuhonga simu akamsajilia mama wa watu fb.
Alipopewa alichokitaka akafuata simu yake.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Aiseeee kweli kuna watu washamba

unaanzaje kumuonga Gari demu kama huyo...huyo jamaa akimpata Huddah Monroe si atamuonga mpaka ndege
Huddah msomali mchafu... Muuza K... Wale kaka zake wateka meli wanamchukia anadhalilisha usomali (kakeketwa sio Mtamu)
 
Acha wa'aibike watajifunza kuishi kwa kujitegemea.
Mtt wa kike unahongwa gari ambalo hujachangia hata sent tano na ww unajiamini kabsaa, kwa kipi cha mno.
 
Aiseeee kweli kuna watu washamba

unaanzaje kumuonga Gari demu kama huyo...huyo jamaa akimpata Huddah Monroe si atamuonga mpaka ndege
Mkuu usiseme hivyo mdogo wangu,, hivi vimama vyenye sura mbaya hivi huwa vina mambo mkuu asikwambie mtu! Huwa vinanyonya mpaka maviiiiiiiiiii!! Unaweza kuagiza wauze nyumba wakutumie hela kwenye m-pesa mkuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom