Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Mar 13, 2021
2,927
6,221
It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation.

Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa.

Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu mwingine nchi za wenzetu bila ya kupata migogoro.

Hawa waluga luga Serikali imewalea sana mpaka kujiona watu muhimu.
 
Amemuimbia mchumba wa nani mkuu wengine hatuko instagram?anyway unapoint hata mambo ya kuzoeana na mwanamke wa mtu ni umama et shem nimekumis .mwingine live alinambia bro una pisi kali nilimkata jicho kama la idd amini dada akatulia
 
Attachments

  • Screenshot_20230912-114905_Chrome.jpg
    Screenshot_20230912-114905_Chrome.jpg
    120.3 KB · Views: 5
Kwa sasa mjini daslam na viunga vyake trending story ni Hamisa Mobeto na Mpenziwe mpya kijana mjasiriamali na tajiri raia wa Ufaransa aitwaye Kevin Sowax kama sijakosea jina la baba...sasaa penzi ni la moto uji unaochemka ukasome..so wana matukio mengi mjini hapo daslam mfano wameenda kutoa msaada muhimbili takribani kiasi cha fedha kisichopungua milioni 16 hivii...hayo tuyaache

Sasa kijana wa hovyo Harmonise kaona Hamisa ana trend kuliko yy akaamua ajisweke na yy hapo ili atrend kwanza alianza kwa kuweka picha ya Hamisa kama Profile picture yake kwenye Simu yake...then haijatosha ametunga wimbo wa I want to be your side Nigga kwa Hamisa wimbo ambao alirusha kionjo chake kwny instagram page yake hukoo...

Sasa wadau wamemshukia kuanzia dada wa Taifa Mange na kumpa makavu live kuwa aache shobo za kijinga..mtu ana mpenzi wake kabisa halafu analeta ufala kama huo..
Sio Mange tuu watu kibao wamemponda..yani wamekerekwa na hicho kitendo...

Mmakonde ni kama litoto fulani hivi anataka kumuharibia mwenzie... soooo Hamisa kam unfollow Harmo...
Hyo ndo habari kwa ufupi.
 
Kweli Dar kuna mambo kwelikweli, kesho nakuja huko kutokea Newala...nikifika nisikose kufika naeneo gani huko Dar ambapo nitapata vionjo vya jiji?
 
Kwa sasa mjini daslam na viunga vyake trending story ni Hamisa Mobeto na Mpenziwe mpya kijana mjasiriamali na tajiri raia wa Ufaransa aitwaye Kevin Sowax kama sijakosea jina la baba...sasaa penzi ni la moto uji unaochemka ukasome..so wana matukio mengi mjini hapo daslam mfano wameenda kutoa msaada muhimbili takribani kiasi cha fedha kisichopungua milioni 16 hivii...hayo tuyaache

Sasa kijana wa hovyo Harmonise kaona Hamisa ana trend kuliko yy akaamua ajisweke na yy hapo ili atrend kwanza alianza kwa kuweka picha ya Hamisa kama Profile picture yake kwenye Simu yake...then haijatosha ametunga wimbo wa I want to be your side Nigga kwa Hamisa wimbo ambao alirusha kionjo chake kwny instagram page yake hukoo...

Sasa wadau wamemshukia kuanzia dada wa Taifa Mange na kumpa makavu live kuwa aache shobo za kijinga..mtu ana mpenzi wake kabisa halafu analeta ufala kama huo..
Sio Mange tuu watu kibao wamemponda..yani wamekerekwa na hicho kitendo...

Mmakonde ni kama litoto fulani hivi anataka kumuharibia mwenzie... soooo Hamisa kam unfollow Harmo...
Hyo ndo habari kwa ufupi.
dada umetisha umetoa story in brief hadi mimi niliyekuwa sina hii habari nmeipata na kuielewa
 
Amemuimbia mchumba wa nani mkuu wengine hatuko instagram?anyway unapoint hata mambo ya kuzoeana na mwanamke wa mtu ni umama et shem nimekumis .mwingine live alinambia bro una pisi kali nilimkata jicho kama la idd amini dada akatulia
Facts.

Tuna ushamba na ulimbukeni mwingi sana.....

Binafsi demu/mke wa mwingine HANIHUSU na wala sipotezi NGUVU/MAARIFA yangu kwa maongezi yasiyo na maana zaidi ya "salaam" na ule ubinaadamu wa maneno usio na UKAKASI....

Tunahitaji kuanza KUJIAMINI...

Baadhi yetu wanaume HATUNA KUJIAMINI kule kwa "alpha males"....tumeatamia KUJIAMINI kwa "yale ya beta males"

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa mjini daslam na viunga vyake trending story ni Hamisa Mobeto na Mpenziwe mpya kijana mjasiriamali na tajiri raia wa Ufaransa aitwaye Kevin Sowax kama sijakosea jina la baba...sasaa penzi ni la moto uji unaochemka ukasome..so wana matukio mengi mjini hapo daslam mfano wameenda kutoa msaada muhimbili takribani kiasi cha fedha kisichopungua milioni 16 hivii...hayo tuyaache

Sasa kijana wa hovyo Harmonise kaona Hamisa ana trend kuliko yy akaamua ajisweke na yy hapo ili atrend kwanza alianza kwa kuweka picha ya Hamisa kama Profile picture yake kwenye Simu yake...then haijatosha ametunga wimbo wa I want to be your side Nigga kwa Hamisa wimbo ambao alirusha kionjo chake kwny instagram page yake hukoo...

Sasa wadau wamemshukia kuanzia dada wa Taifa Mange na kumpa makavu live kuwa aache shobo za kijinga..mtu ana mpenzi wake kabisa halafu analeta ufala kama huo..
Sio Mange tuu watu kibao wamemponda..yani wamekerekwa na hicho kitendo...

Mmakonde ni kama litoto fulani hivi anataka kumuharibia mwenzie... soooo Hamisa kam unfollow Harmo...
Hyo ndo habari kwa ufupi.
Shule shule shule...

Sasa ndugu yetu huyu muokota "mabibo" na kuyajaza mapipani yawe pombe ya "nipa" ndiyo hivyo tena

Back
Top Bottom