Mwaname wa kiafrika hasifiwi hadharani wala halelewi

Nuru2023

JF-Expert Member
May 2, 2023
419
940
Rumor has it mzee wa hulisi kamtwanga dada wa bango la valentine talaka moja na mke wa pili juu......

Tatizo sio kuachika, tatizo ni kujishaua sana my husband this my husband that, vikiumana lazima utamani ulimwengu ukulele

Wanawake mnaowazidi vipato waume zenu kaeni kwa kutulia na muendelee na life lenu kimya kimya, maana ni swala la muda tu kabla hujapigwa na shambulio la aibu, sasa ni bora likukute wakati uko private, ukiwa na mashauzi stress za naonekanaje zinauma kuliko tukio lenyewe.

In the end mwanaume halelewi, dada kama umejipata tayari basi tafuta aliyejipata kama wewe au zaidi, mambo ya building together achia watoto wa chuo huko ambao hawajui what the future holds sababu milango ya pesa inaweza funguka kwa yeyote kati yao bila kujali jinsia
 
Kmmmk hela ya ulisi wa mwanamke yamoto sana 😂....Hapo unasimangwa na I made you kama zote. Mixa simu kukaguliwa 24/7 yani mke na afisa upelelezi tofauti yao ni sare za kazi tu. Kosa kidogo tu, we unipendi upo kwa ajili ya hela zangu tu 😁😁😁


Kwa kifupi nyani katema bungo tayari!!!
 
Back
Top Bottom