Mwanafunzi anatakiwa kuwa na simu darasa la ngapi?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,989
23,501
Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat

Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2.

Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent

Aisee yuko busy anatuma meseji tuzidi kuwaombea tu.
 
Huku mambele madogo hadi darasa la 3 wanaruhusiwa kuwa na simu shuleni. Ila ni jukumu la mlezi/mzazi kuicontrol
 
Shida sio kumiliki SIMU.Shida ni amepataj hiyo na anaitumiaje.Hilondilo swala la msingi
 
yaaan namwangalia nasikia kama Israel inavamia basi
 
Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat

Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2.

Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent

Aisee yuko busy anatuma meseji tuzidi kuwaombea tu.
Darasa la sita kwa shule za 'kayumba' mwanafunzi anaruhusiwa kuwa na simu,ila kwa shule za 'yes no' ni darasa la pili!
 
Nimeona kwa Sister angu, watoto wake wanapewa simu wakiingia form 4, na wanatumia Simu wakati wa likizo tu, likizo ikiisha Simu zinawekwa kwa Kabati, wakifika Form 6, ndo anapewa Simu aimiliki.
 
Hakika simu ni tatizo hasa kwa mwanafunzi, inampunguzia attention span, kingine ni bora asome kitabu halisi kuliko kumpatia simu asome pdf. Mm nilimiliki simu nilipo maliza la saba. Zile Nokia kama blackberry duu nilifanyiaga ujinga mwingi sana.
 
Waende shule Kusoma na sio kuangalia Video za Zuchu kwenye simu na kukatika katika Darasani.

Wasome.

Nchi za Ulaya na Marekani wamenza kudhibiti uingizwaji wa Simu madarasani. Isitoshe mpaka TikTok inaenda kufungiwa, Kwa sababu watoto wao wanakuwa mambumbumbu. Tusikubali kudanganywa ati huko wanaachiwa.

Mtoto wa Darasa la tatu simu ya nini?
 
Cku hz kawaidaa mkuu na wanalika unakuta ktt Cha 4m2 km huyo vijana wa boda washamkula mpk wamemkinai na hawamtaki tenaa..
Sio boda tu hata wadau mtaani. Watoto wanaanza mambo wakiwa wadogo sana.

Wazazi hakikisheni watoto wa kike wanapata chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi, mambo yamebadilika sana.
 
Back
Top Bottom