TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

Nitakujibu law msiba huu. Tunafahamiana na tumeanzisha group la WhatsApp na zaidi kufahaminiana kifamilia. Hata kama unatumia fake ID hutakosa hata mtu mmoja mnayefahamiana. Waliopo huku wapo sehemu tunazoishi
Rest in peace kaka , hivi najiuliza mtu anatumia fake ID halafu siku akifa members wengine wanajuaje? Samahani lakini
 
POLENI SANA WANA JF, FAMILIA YA MAREHEMU NA WOTE WANAOHUSIKA NA MSIBA HUU.
HAKIKA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI; YEYE KATANGULIA... INAUMA! MAPENZI YA MUNGU YATIMIZWE. AMIIN
 
Back
Top Bottom