Kingdom
Member
- May 28, 2010
- 39
- 13
Kuna aina fulani wa viongozi wanaitwa viongozi wa kimapinduzi "revolutionary leaders" , huwa hawawi wengi kwenye jamii lakini ni wa muhimu sana jamii inapotakiwa kutoka kwenye mazoea "status quo" na kwenda katika daraja lingine la maisha "paradigm shift". Labda changamoto ni kumtambua akitokeza.