Mwaka huu kuna ajira za afya na elimu kweli?

unclebk

Member
Mar 6, 2019
40
105
Ni matumaini yangu wana JF mko salama salmin.

Mwaka jana Mwezi wa Nne mwanzoni ajira za Afya na Ualimu zilitangazwa, na watu tulianza pilikapilika (Japo baadhi yetu tulikosa).

Nilitegemea mwaka huu pia majira na nyakati kama hizi tuwe kwenye harakati kama mwaka jana.

==> Je, Mwaka huu ajara zipo kweli...?
 
Zipo njiani usihofu
 
Daaah, nimekaa nikawaza sana,
Kuna mipango mingi nashindwa kuifulfill kwa sababu ya hiz Ajila
 
Back
Top Bottom