Kaongea kibibilia zaidi, miaka ya kuishi ni 70, na pension ni 8 hivyo 78Umepiga hesabu kwa kutumia calculator ya simu gani mkuu?
Mtu alibakiza miaka 2 kugonga 80 !
Kaongea kibibilia zaidi, miaka ya kuishi ni 70, na pension ni 8 hivyo 78Umepiga hesabu kwa kutumia calculator ya simu gani mkuu?
Mtu alibakiza miaka 2 kugonga 80 !
are you sure nothing is permanent?RIP …tupita….
Nothing is permanent
soma post vizuri kila kitu kimeelezwaAwamu gani alikuwa.
Mustafa Haidi Makunganya Mkulo (born 26 September 1946) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kilosa constituency 2005–2015. He died on 3 May 2024.
Hata mimi nikaelewa hivyo mkuu!Oooh!
Mwenzako nilikuwa nawaza ustaafu wa ajira.
DuhDah huyu mzee mwezi uliopita nilionana nae pale Shoppers plaza Supermarket
Alafu kwao kilosa alipokuwaga hakuifanyia mambo ya msingi kwa sanaMaisha bhana!
Mahela yote aliyofisafidi watakula wengine tu.
Sasa mkuu, Prof. alikuwa na maeneo mawili ya kuishi unataka azikwe kama kajambanani ? Anaswaliwa kwanza hapo Mikocheni, then safari ya kwenda Kilosa ambako obvious wanafika jioni kama siyo usiku sasa unataka azikwe usiku usiku?Maalim Seif alifariki asubuhi akazikwa jioni, huyu kafa Ijumaa anazikwa Jumapili
Uislam ni Dini ya amani
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
Pia Soma: The case against MUSTAFA MKULO
View attachment 2980376
RIPPole wafiwa
Amefia wapi mkuu, siyo kawaida kuchelewesha mazishi kiasi hicho
Endelea kuuliza mkuu kifo kitakujibu.Mwenyezi Mungu amweke mahali pema peponi🙏are you sure nothing is permanent?
Ndo nani huyu aseeAliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
Pia Soma: The case against MUSTAFA MKULO
View attachment 2980376
Azikwe nazo basiAlipiga hela sana alipokuwa nssf huyu mzee,na alikuwa corrupt sana najuwa marehemu hasemwi
Ila Acha watu waseme
Ova
Kumbe wewe bonge la star, ulifanikiwa kupiga picha na waziri! Hongera sana.Poleni sana, nakumbuka miaka ya 2008 niliwahi kupiga nae picha kabisa akiwa waziri wa fedha
Maradhi,kutwa uko kwenye v8,hupigi tizi, kulakula na kutomb ovy...lzm ungokeMbona kafa mdogo? Yani wa 1946?
Kipindi nnapiga harakati zangu hapo wilaya ya kilosa,nshajaribu sn kumgumia kuongea naye kuhusu masuala mbalimbaliAzikwe nazo basi
Shukuru kwasababu mambo yengenyooka nawe ungekuwa fisadi papa.Kipindi nnapiga harakati zangu hapo wilaya ya kilosa,nshajaribu sn kumgumia kuongea naye kuhusu masuala mbalimbali
Ya hapo lkn mambo yakawa yanaishia hewani tu
Ova