Muda muafaka wa kuanzisha tovuti ya ongea na Rais Samia

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,278
Habari wakuu,

Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake.

Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu maalumu kazi yake ni kuforward moja kwa moja kwa wizara husika, kisha wizara ikishafanyia kazi malalamiko au ushauri Fulani,irudishe feedback kwa rais kupitia tovut yake.

Farida ya hii tovuti ni kuwa watendaji watakuwa na uoga wa kutenda maovu juu ya Jambo Fulani, kwani watajua wakifanya hujuma fulani, moja kwa moja wananchi wanapo pa kupeleka malalamiko yako.

Ni hayo tu wakuu, japo nimekosea teuzi za Ukuu wa Wilaya, labda ngoja nisubili mkeka wa DAS, wanaokubali kuwa chawa ndio wanaokula Manisha mjinii.
 
Farida ya hii tovuti ni kuwa watendaji watakuwa na uoga WA kutenda maovu juu ya Jambo Fulani,kwani watajua wakifanya hujuma fulani, moja kwa moja wananch wanapo pa kupeleka malalamiko yako.
NI hayo Tu wakuu, japo nimekosea teuzi za ukuu wa wilaya, labda ngoja nisubili mkeka wa DAS, wanaokubali kuwa chawa ndio wanaokula Manisha mjinii.
 
Raisi wa Zanzibar ameshazindua app Yake kule ya malalamiko
 
Back
Top Bottom