Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,930
38,906
Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi.

Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi.

===
Zanzibar
Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini Zanzibar na kufanya uharibifu wa mali kwa kushambulia sanamu zilizopo kanisani.

Baada ya kufanya uharibifu huo alikamatwa na kukaguliwa begi lake kukutwa vitambulsho ikiwemo cha Taasisi ya Kupambana na Rushwa Zanzibar Anti-Corruption and Economic Crimes Authority (ZAECA) . Alikuwa anapiga kelele amerogwa na kuonesha kama ana matatizo ya akili.

FB_IMG_17081730555915583.jpg
FB_IMG_17081730591626250.jpg
FB_IMG_17081730616225757.jpg

Hawa ndugu zetu wana chuki za waziwazi kweli... Ndio maana ugaidi na dini yao ni vitu visivyotengana.

Hapa tu kuna jirani yangu nimepanga nae, namsikia anamwambia mke wake kuwa siku atakayoenda kuombewa kanisani asikanyage hapo kwake, kwamba hawezi kuishi na makafiri chumba kimoja na lugha nyingine za ubaguzi wa dini. Mke wake ni kama anatafuta tiba ya mashetani.

Hawa ndugu zetu wanaweza kuua kisa hiyo Dini yao, yani wanafundishwa kutumikia Dini na si kutenda mema.
 
Ukiwa huna utimamu wa akili dini itakupelekesha sana.

Ujue tatizo ni kua hizi dini tangu mdogo unaanza kulishwa vitu, mpaka mtu anakua mtu mzima anaimbiwa kitu hicho hicho kimoja, ni ngumu sana mtu huyu kuwaza nje ya box, ni vile kuna mitandao ya kijamii la sivyo mpaka leo jamii ingekua inaamini viongozi wa dini ni watu wema wasio na maovu.
 
IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Ibrahim yupi huyo?. Shida mnapoteza muda kwa kusoma vitabu vya kipumbavu.
Ikiwa ni Ibrahim huyu huyu wa Huru ya ukaldayo basi umedanganya.
Maana Mungu wake huyo ndiye aliyemuagiza Musa kutengeneza sanamu ya Nyoka ili kila Aumwae na Nyoka aweze kupona.
 
Hawa ndugu zetu wana chuki za waziwazi kweli... Ndio maana ugaidi na dini yao ni vitu visivyotengana.

Hapa tu kuna jirani yangu nimepanga nae, namsikia anamwambia mke wake kuwa siku atakayoenda kuombewa kanisani asikanyage hapo kwake, kwamba hawezi kuishi na makafiri chumba kimoja na lugha nyingine za ubaguzi wa dini. Mke wake ni kama anatafuta tiba ya mashetani.

Hawa ndugu zetu wanaweza kuua kisa hiyo Dini yao, yani wanafundishwa kutumikia Dini na si kutenda mema.
Yule aliyevunja Geita juzi hapa?
 
Kwani Mungu ni dini gani?
 
Hilo sanamu yavunjwe mambo ya kuombewa ni ukafiri na uchawi kabisa..

Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Back
Top Bottom