Mtifuano CHADEMA: Wakichomoka kwenye hili, 2025 Ikulu yao

kaishebo

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
818
579
Kuna makundi mawili yenye nguvu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo yanayodaiwa kupishana mitazamo ya namna ya kuendesha siasa kuelekea chaguzi za SM na ule mkuu wa 2025.

Kundi la kwanza inaelezwa linaongozwa na Mwenyekiti FAM huku lingine likiongozwa na Makamu M/kiti TAL.

Uchunguzi uliofanywa na 'wafukunyuku'(wapekuzi wa habari za ndani kabisa), unaonyesha, kundi la TAL lina nguvu sana kwa sababu linaungwa mkono na wanaharakati wa ndani na nje ya nchi huku lile la FAM likiwa na uungwaji mkono kutoka kwa wanachama wa kawaida ambao uelewa wao ktk mambo ya siasa ukiwa mdogo.

Makundi haya kwa hali ilivyo sasa ni kama mafuta na maji.....imefikia wakati kundi moja kutumia pesa nyingi kwenye chaguzi za ndani ili wagombea waliowafuasi wao washinde. Ref: kauli ya TAL kule Iringa.

Tofauti za makundi haya yanaegemea kwenye namna ya kufanya siasa ;
Kundi la TAL(wakiwemo wanaharakati) linadaiwa kuendesha siasa zenye matamshi makali yenye kukosa staha kwa viongozi wa serikali. Inaelezwa pia kuwa wanaeleza mambo magumu ambayo hayaeleweki kwa wananchi wa kawaida. Linatuhumu vilevile kundi lingine kutumia pesa chafu, zisizoelewweka zitokako.

Kundi la FAM linadaiwa kuendesha siasa laini ambazo haziamshi hisia za wananchi, hivyo kukipa mwanya chama tawala CCM kupita kwa urahisi katika chaguzi zijazo.

Taarifa zaidi zinapasha, mgogoro wa 'Wabunge' 19 wakiongozwa na HJM nao ni chanzo cha MTIFUANO kwa makundi hayo.

Kundi la FAM linadaiwa kulegeza kamba dhidi ya 'wabunge' hao huku lile la TAL likikaza kudu kwa hoja kwamba ni fedheha kwa chama 'kugeuka jiwe'.
Za ndani kabisa ni kwamba, kuna vikao kundi la FAM lilikaa na baadhi ya akina HJM na kukubaliana watoe sehemu ya mapato yao ya bungeni ili yasaidie kuimarisha chama , kisha watangazwe kusamehewa.

Vyanzo fiche kutoka CDM vinaeleza, jambo hilo lilipingwa na kundi la wanaharakati walioapa kutoliweka hata kwenye mijadala ya kawaida ya chama. Ama vinginevyo wagawane mbao.

Kwenye MTIFUANO huu, CDM wakitoboa na kuwa wamoja, nawaona IKULU 2025
 
Za ndani kabisa ni kwamba, kuna vikao kundi la FAM lilikaa na baadhi ya akina HJM naSS kukubaliana watoe sehemu ya mapato yao ya bungeni ili yasaidie kuimarisha chama , kisha watangazwe kusamehewa.

Vyanzo fiche kutoka CDM vinaeleza, jambo hilo lilipingwa na kundi la wanaharakati walioapa kutoliweka hata kwenye mijadala ya kawaida ya chama. Ama vinginevyo wagawane mbao.

Kwenye MTIFUANO huu, CDM wakitoboa na kuwa wamoja, nawaona IKULU 2025
Subiri waje wenye za ndani zaidi.
 
Kuna makundi mawili yenye nguvu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo yanayodaiwa kupishana mitazamo ya namna ya kuendesha siasa kuelekea chaguzi za SM na ule mkuu wa 2025.

Kundi la kwanza inaelezwa linaongozwa na Mwenyekiti FAM huku lingine likiongozwa na Makamu M/kiti TAL.

Uchunguzi uliofanywa na 'wafukunyuku'(wapekuzi wa habari za ndani kabisa), unaonyesha, kundi la TAL lina nguvu sana kwa sababu linaungwa mkono na wanaharakati wa ndani na nje ya nchi huku lile la FAM likiwa na uungwaji mkono kutoka kwa wanachama wa kawaida ambao uelewa wao ktk mambo ya siasa ukiwa mdogo.

Makundi haya kwa hali ilivyo sasa ni kama mafuta na maji.....imefikia wakati kundi moja kutumia pesa nyingi kwenye chaguzi za ndani ili wagombea waliowafuasi wao washinde. Ref: kauli ya TAL kule Iringa.

Tofauti za makundi haya yanaegemea kwenye namna ya kufanya siasa ;
Kundi la TAL(wakiwemo wanaharakati) linadaiwa kuendesha siasa zenye matamshi makali yenye kukosa staha kwa viongozi wa serikali. Inaelezwa pia kuwa wanaeleza mambo magumu ambayo hayaeleweki kwa wananchi wa kawaida. Linatuhumu vilevile kundi lingine kutumia pesa chafu, zisizoelewweka zitokako.

Kundi la FAM linadaiwa kuendesha siasa laini ambazo haziamshi hisia za wananchi, hivyo kukipa mwanya chama tawala CCM kupita kwa urahisi katika chaguzi zijazo.

Taarifa zaidi zinapasha, mgogoro wa 'Wabunge' 19 wakiongozwa na HJM nao ni chanzo cha MTIFUANO kwa makundi hayo.

Kundi la FAM linadaiwa kulegeza kamba dhidi ya 'wabunge' hao huku lile la TAL likikaza kudu kwa hoja kwamba ni fedheha kwa chama 'kugeuka jiwe'.
Za ndani kabisa ni kwamba, kuna vikao kundi la FAM lilikaa na baadhi ya akina HJM na kukubaliana watoe sehemu ya mapato yao ya bungeni ili yasaidie kuimarisha chama , kisha watangazwe kusamehewa.

Vyanzo fiche kutoka CDM vinaeleza, jambo hilo lilipingwa na kundi la wanaharakati walioapa kutoliweka hata kwenye mijadala ya kawaida ya chama. Ama vinginevyo wagawane mbao.

Kwenye MTIFUANO huu, CDM wakitoboa na kuwa wamoja, nawaona IKULU 2025

Laana ya Magufuli inawatafuna
 
Mtifuamo uko wapi? Unategemea watu wafikiri aina moja. Mimi japendelea siasa moderate lakini focused kama Mbowe. Lakini Lisu vile vile sioni ubaya wa style yake, huo hauqezi kuwa.mt8fuano lengo letu ni Katiba mpyà.
 
Kuna makundi mawili yenye nguvu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo yanayodaiwa kupishana mitazamo ya namna ya kuendesha siasa kuelekea chaguzi za SM na ule mkuu wa 2025.

Kundi la kwanza inaelezwa linaongozwa na Mwenyekiti FAM huku lingine likiongozwa na Makamu M/kiti TAL.

Uchunguzi uliofanywa na 'wafukunyuku'(wapekuzi wa habari za ndani kabisa), unaonyesha, kundi la TAL lina nguvu sana kwa sababu linaungwa mkono na wanaharakati wa ndani na nje ya nchi huku lile la FAM likiwa na uungwaji mkono kutoka kwa wanachama wa kawaida ambao uelewa wao ktk mambo ya siasa ukiwa mdogo.

Makundi haya kwa hali ilivyo sasa ni kama mafuta na maji.....imefikia wakati kundi moja kutumia pesa nyingi kwenye chaguzi za ndani ili wagombea waliowafuasi wao washinde. Ref: kauli ya TAL kule Iringa.

Tofauti za makundi haya yanaegemea kwenye namna ya kufanya siasa ;
Kundi la TAL(wakiwemo wanaharakati) linadaiwa kuendesha siasa zenye matamshi makali yenye kukosa staha kwa viongozi wa serikali. Inaelezwa pia kuwa wanaeleza mambo magumu ambayo hayaeleweki kwa wananchi wa kawaida. Linatuhumu vilevile kundi lingine kutumia pesa chafu, zisizoelewweka zitokako.

Kundi la FAM linadaiwa kuendesha siasa laini ambazo haziamshi hisia za wananchi, hivyo kukipa mwanya chama tawala CCM kupita kwa urahisi katika chaguzi zijazo.

Taarifa zaidi zinapasha, mgogoro wa 'Wabunge' 19 wakiongozwa na HJM nao ni chanzo cha MTIFUANO kwa makundi hayo.

Kundi la FAM linadaiwa kulegeza kamba dhidi ya 'wabunge' hao huku lile la TAL likikaza kudu kwa hoja kwamba ni fedheha kwa chama 'kugeuka jiwe'.
Za ndani kabisa ni kwamba, kuna vikao kundi la FAM lilikaa na baadhi ya akina HJM na kukubaliana watoe sehemu ya mapato yao ya bungeni ili yasaidie kuimarisha chama , kisha watangazwe kusamehewa.

Vyanzo fiche kutoka CDM vinaeleza, jambo hilo lilipingwa na kundi la wanaharakati walioapa kutoliweka hata kwenye mijadala ya kawaida ya chama. Ama vinginevyo wagawane mbao.

Kwenye MTIFUANO huu, CDM wakitoboa na kuwa wamoja, nawaona IKULU 2025
Chadema ni moja , shida kambi M/ mwenyekiti na Mwenyekiti chama kilivyozisuka katika mapambano haya ndo zinawachanganya , sasa subirin kama uchaguzi ukifanyika ccm mtaona rangi zote , chadema ni chama kimepika watu, kipo na watu wa mipango imara ndo maana mmepoteana
 
Naikumbuka hii twiti
1000042238.jpg
 
Kuna makundi mawili yenye nguvu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo yanayodaiwa kupishana mitazamo ya namna ya kuendesha siasa kuelekea chaguzi za SM na ule mkuu wa 2025.

Kundi la kwanza inaelezwa linaongozwa na Mwenyekiti FAM huku lingine likiongozwa na Makamu M/kiti TAL.

Uchunguzi uliofanywa na 'wafukunyuku'(wapekuzi wa habari za ndani kabisa), unaonyesha, kundi la TAL lina nguvu sana kwa sababu linaungwa mkono na wanaharakati wa ndani na nje ya nchi huku lile la FAM likiwa na uungwaji mkono kutoka kwa wanachama wa kawaida ambao uelewa wao ktk mambo ya siasa ukiwa mdogo.

Makundi haya kwa hali ilivyo sasa ni kama mafuta na maji.....imefikia wakati kundi moja kutumia pesa nyingi kwenye chaguzi za ndani ili wagombea waliowafuasi wao washinde. Ref: kauli ya TAL kule Iringa.

Tofauti za makundi haya yanaegemea kwenye namna ya kufanya siasa ;
Kundi la TAL(wakiwemo wanaharakati) linadaiwa kuendesha siasa zenye matamshi makali yenye kukosa staha kwa viongozi wa serikali. Inaelezwa pia kuwa wanaeleza mambo magumu ambayo hayaeleweki kwa wananchi wa kawaida. Linatuhumu vilevile kundi lingine kutumia pesa chafu, zisizoelewweka zitokako.

Kundi la FAM linadaiwa kuendesha siasa laini ambazo haziamshi hisia za wananchi, hivyo kukipa mwanya chama tawala CCM kupita kwa urahisi katika chaguzi zijazo.

Taarifa zaidi zinapasha, mgogoro wa 'Wabunge' 19 wakiongozwa na HJM nao ni chanzo cha MTIFUANO kwa makundi hayo.

Kundi la FAM linadaiwa kulegeza kamba dhidi ya 'wabunge' hao huku lile la TAL likikaza kudu kwa hoja kwamba ni fedheha kwa chama 'kugeuka jiwe'.
Za ndani kabisa ni kwamba, kuna vikao kundi la FAM lilikaa na baadhi ya akina HJM na kukubaliana watoe sehemu ya mapato yao ya bungeni ili yasaidie kuimarisha chama , kisha watangazwe kusamehewa.

Vyanzo fiche kutoka CDM vinaeleza, jambo hilo lilipingwa na kundi la wanaharakati walioapa kutoliweka hata kwenye mijadala ya kawaida ya chama. Ama vinginevyo wagawane mbao.

Kwenye MTIFUANO huu, CDM wakitoboa na kuwa wamoja, nawaona IKULU 2025
Hakuna kitu kama hicho. !
Pale zipo hesabu kali zinapigwa ili ionekane iko hivyo kumbe wana lao jambo !
 
Back
Top Bottom