Mtia nia ubunge Sengerema, Dr. Watugala (CHADEMA) afariki dunia

Daah! too sad aisee.
W.M Ngereja inabidi akamatwe kwa mahojiano zaidi pamoja na team yake ikiongozwa na Mzee Mululu.

Mwaka wa uchaguzi huja na majanga yake.
RIP Dr. Watugala mchango wako kwa chama will always be valued!

Akamatwe kwa lipi kwani huyo ni mungu?
 
Mmmmmmm ........matatizo ya akili ndogo kuiongoza akili kubwa......kwako wewe kifo kinaweza tokana na kurogwa tu.....na kurogwa kwenyewe na Chadema.....lakini nashukuru unamfahamu Mwenyezi Mungu ingawa umemudhalilisha kwa kuandika jina lake kwa herufi ndogo. hujui kuwa hili ni jina kuu juu ya majina yote??

Mkuu huyo jamaa amevurugwa
 
Nimeushirikisha hadi machozi yamenitoka kwa uchungu. Yaani siasa tu mpaka mtoane roho jamani! So sad.

Kama hapo ndio umefikiria kwa nguvu zako zote na kuja na hitimisho marehemu amelogwa bila ushahidi au utetezi wowote, basi nchi hii itaendelea kuwa masikini mpaka mwisho wa Dunia iwapo watu kama wewe watapewa dhamani ya kuongoza serikali yetu.
 
Mmmmmmm ........matatizo ya akili ndogo kuiongoza akili kubwa......kwako wewe kifo kinaweza tokana na kurogwa tu.....na kurogwa kwenyewe na Chadema.....lakini nashukuru unamfahamu Mwenyezi Mungu ingawa umemudhalilisha kwa kuandika jina lake kwa herufi ndogo. hujui kuwa hili ni jina kuu juu ya majina yote??

Mama Mdogo please, hukuwa na haja ya kumpa lugha ya kuudhi
 
RIP Dr Nilikufahamu tokea nikiwa mtoto kabisa,nimesikitika sana ,pole kwa mama Watugala na watoto,na Jumuia nzima ya AICT kwa kumpoteza mkurugenzi
 
Pole kwa familia,ndugu,na jamaa kwa msiba.Mungu awe faraja ya kweli.Mungu alitoa na ametwaa.Jina la Bwana lihimidiwe
 
Back
Top Bottom