KERO Mtendaji Kata ya Lumumba maji taka yamekuwa kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,654
3,481
Afisa afya au mtendaji hivi hii sehem tena mbele ya shule ya msing Lumumba mbele kabisa maji ya choo imekuwa kero,tena mbele ya ofisi za jiji maji machafu ya choo. Tuwasaidie hawa watoto na wapita njia, imekuwa risk unalazimika kutembea kwenye lam unapigana mabusu na magari saa nyinginezo yanakukosa kosa.yamekua kero.

Nazungumza na jamaa mmoja anasema wazibuaji wanakujaga ila wanashindwa. Afsa afya jiji hapo action plan yako ni ipi? Hawa wanaokaa magorofa si ndio wanaotumia vyoo na kusababisha adha hii,watembelee
 
Kama uliweza kufika kwenye hiyo kero basi ungeweza pia ukafika Ofisi husika ukaeleza hiyo kero.
 
Kama uliweza kufika kwenye hiyo kero basi ungeweza pia ukafika Ofisi husika ukaeleza hiyo kero.
Hapana afisa , nimepita nje nimekoswa koswa na boda kwa kyakimbia maji ya mavi
Waomben hata hawa jamaa wa Dmdp wawasaidie,bib afya mkuu wa idara atakulima barua shughulikia hili,unajua ndio hapo mnashangaaga Makonda anawazid,
By laws unazo,trace chemba inayotemq maji, wape abaruq wanaokaa kwenye hizo flat, kama tatizo ni watu wa Dawasa nakataa mana wao wana lile gari la kuzibua la.kisasa kabisa, andika barua mkrugenz aipitishe

Fanya hayo usisubir uelekezwe na wakuu wako wewe kama mtendaj chkua action kishq uitolee ripoti
 
Back
Top Bottom