Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

kwa upande wangu hapo nitakushauri uzingatie sana suala zima la management... hapa nazungumzia ishu nzima ya chakula na maji viwe salama, na pia zingatia muda wa chanjo maana hawa kuku wa kisasa wengi wao ni prone to diseases hivyo suala la chanjo ni la kuzingatia sana mkuu kuhusiana na chanjo itabidi utembelee duka la mifugo kwa ushauri zaidi mkuu

Kuna mambo mengi ya kuzungumzia kuhusiana na kuku .... ukiwa na shida yoyote usisite kuniuliza karibu mkuu
 
Mkuu nipo huku kijiji mzee wangu ni mfugani lakini pale mvua zinapooanza kunyeesha ng'ombe wengi hasa wenye umri mkibwa huanza kuharisha na kukonda ghafla na wakati mwingine wakiwa marishoni anaweza akalala na kushindwa kuamka naomba ushauri mkuu nimsaidie mzee wangu

na kawaida kwa kipindi kama hicho hipoteza ng'ombe si 60 kwa mwaka kwa kipindi cha masika na vuli

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo lako mkuu liko physiologically zaidi... mara nyingi hii hutokea iwapo kuna kianzii na ng"ombe wanakosa malisho na maji ya kutosha... so ikitokea ng'ombe wamepata malisho na maji mengi kipindi cha neema kuna kuwa na physiological disturbance/overload ambayo hupelekea hayo matatizo....

so kwa ushauri wangu ni vyema ikifika kipindi cha kiangazi ni vyema kuuza hao ng'ombe wazee wote ili kuepuka more loss mkuu... karibu
 
sory brother nmenunua viumbwa viwili vidume vina miez 1 na nusu je chakula gan kinafaa na je itchukua muda gan ili vihasiwe coz nimenunua mtaan hapa ili nifuge Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa chakula hapo unaweza wapa soft feed mkuu.... unaweza wakorogea uji then ukawapa pia uwe una wapa maziwa mara moja moja sio kila siku atleast 3 times a week

afu zingatia kuwapa chanjo against Distemper.. hepatitis...leptospirosis...and parvo virus infection hayo ni magonjwa hatarishi sana kwa mbwa na pia kumbuka kuwapa dawa za minyooo kupunguza worms overload....

wakifikisha umri wa miezi 4-6 wanaweza fanyiwa castration karibu kwa huduma mkuu
 
Ndio mkuu hizo taarifa zina ukweli Bata wako Resistance kwa magonjwa mengi tofouti na kuku.... Katika fani yangu hii ya utabibu wa mifugo sijawahi attend any case inayohusiana na bata..... But kuna magonjwa mawili hatari sana incase yakivamia shamba lako nayo ni Duck viral hepatitis and Duck viral enteritis Thou ni rarely sana kuvamia shamba...

Kwa ushauri wangu wangu ukibahatika kuanzisha mradi wako make sure uwe na good management katika suala zima la mabanda na vyombo vya chakula na maji katika farm yako hiyo ya bata na pia ukumbuke kuwachanja bata wako dhidi ya hayo magonjwa hapo juu.... Kila la kheri mkuu
Asante sana mkuu
 
niko tanga
mtamfute mtaalamu yeyote wa mifugo atakusaidia mkuu.... and akiwa hapo zingatia sana posture yake akae sternal recumbency (mkao wa kawaida wa ng'ombe) and not lateral recumbency mkuu... kila la kheri mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom