Msitumie wasanii kuipamba awamu hii mnatia aibu

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,228
11,432
Naona nguvu kubwa sana inatumika kuipamba hii awamu kuwa inafanya makubwa, Wasanii wanabebwa na kupewa posho kila kukicha matarumbeta insta Mama anafanya makubwa

Jamani sisi wananchi huku ndio hali tunaijua na sisi ndio tunatakiwa kusifia au kuponda msilazimishe kusifia mambo ambayo hata nyie mnajua hamjayatimiza mtaani huku hali ni tete

Mafuta yanakimbilia 3500 kwa lita moja na bado mnasema tupo vzuri
 
Back
Top Bottom