Mshambuliaji wa KMC FC Mateo Antony, wewe ni 'Mnafiki' na zaidi ya 'Yuda Iskarioti' katika Biblia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,115
110,505
Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.

Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya Yanga SC.

Mateo Antony nakujua uwezo wako mkubwa wa mpira ulionao ila leo kwa makusudi, kwa Uyanga wako na mapenzi yako ya kujipendekeza kwa Yanga SC na matajiri wao wakuu GSM kwa makusudi ulikuwa unaua muvu za magoli.

Unachelewa kutoa pasi huku kwa kudhamiria kabisa ukicheza rafu za kipumbavu ili upate kadi nyekundu kisha utolewe na uidhoofishe KMC FC yako na ifungwe kiurahisi na Yanga SC.

Ulivyo mnafiki kila ukijua KMC FC inakutana/inacheza na Simba SC hata kama ukiwa majeraha huwa unalazimisha upangwe ucheze hata kwa kupigwa sindano ya ganzi!

Na huwa Unahangaika kwa kuhaha huku na kule mpaka kutufunga Simba SC, ila ukicheza na Yanga SC huwa unajivunja makusudi kiuchezaji na kucheza chini ya kiwango chako kama leo.

Kwanini humuigi mchezaji mwenzako wa KMC FC (na mwana Yanga SC lia lia) beki na nahodha wako msaidizi Andrew Vicent Dante Chikupe, ambaye kila akikutana na Yanga SC anayoipenda moyoni huwa anaikazia na kucheza kazi kazi muda wote mpaka kutufurahisha na sisi wengine?

Mnafiki mkubwa wewe, si utakuja kesho au wikiendi hapo (pale) maskani kwetu ambapo kwa hivi ulivyonikera ukija tu na kutaka kuivuta ile kitu yako kali, urithi wa Hayati Bob Marley hakyanani safari hii nakulengesha (nakuchoma) kwa polisi wa Tegeta ili Wakukamate.

Na kwa jinsi mdomo wako ulivyo mweusi na macho yako muda wote kuwa mekundu hutowakwepa polisi wapelelezi wa hapo na utaozea keko au segerea.

Umenikera mno tu, na usije maskani!
 
Nakubali mzee wa za ndaaaaani kabisa, ulistahili ulipwe kutokana na hizi exclusive contents.Kwa hakika unalijua soka la bongo hasa katika figisu zake nje ya uwanja.
 
Kwanza huna busara!! Nakushangaa sana!! Palikuwa na haja gani ya kumdhalilisha kijana wa Watu!!??
We inabidi uchunguzwe ufahamu wako.
Hebu nitolee Upuuzi wako hapa sawa? Waanze Kwanza huko Kuchunguzwa Ufahamu wao Waliokuzaa sawa?

Huna unachokijua katika Soka la TZA.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great.
 
Na usije tena Maskani yetu Tegeta kwa Swahiba wako Mkuu na Bingwa wa Kucheza Mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.

Binafsi kama mwana Maskani wako hapo leo nakuambia Nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo Kucheza Mpira na kuisaidia Timu yako ya KMC FC ipate Ushindi dhidi ya Yanga SC.

Mateo Antony nakujua Uwezo wako mkubwa wa Mpira ulionao ila leo kwa Makusudi kwa Uyanga wako na Mapenzi yako ya Kujipendekeza kwa Yanga SC na Matajiri Wao Wakuu GSM kwa Makusudi ulikuwa unaua Muvu za Magoli, unachelewa kutoa Pasi huku kwa Kudhamiria kabisa ukicheza Rafu za Kipumbavu ili upate Kadi Nyekundu kisha utolewe na Uidhoofishe KMC FC yako na ifungwe Kiurahisi na Yanga SC.

Ulivyo Mnafiki kila ukijua KMC FC inakutana / inacheza na Simba SC hata kama ukiwa injury huwa Unalazimisha upangwe Ucheze hata kwa kupigwa Sindano ya Ganzi na huwa Unahangaika kwa Kuhaha huku na kule mpaka Kutufunga Simba SC ila ukicheza na Yanga SC huwa Unajivunja makusudi Kiuchezaji na Kucheza chini ya Kiwango chako kama Leo.

Kwanini humuigi Mchezaji Mwenzako wa KMC FC ( na mwana Yanga SC lia lia ) Beki na Nahodha wako Msaidizi Andrew Vicent Dante Chikupe ambaye Kila akikutana na Yanga SC anayoipenda Moyoni huwa anaikazia na kucheza Kazi Kazi muda wote mpaka Kutufurahisha na Sisi wengine?

Mnafiki mkubwa Wewe SI utakuja Kesho au Weekend hapo ( pale ) Maskani Kwetu ambapo kwa hivi Ulivyonikera ukija tu na kutaka Kuivuta ile Kitu yako Kali Urithi wa Hayati Bob Marley hakyanani Safari hii Nakulengesha ( Nakuchoma ) kwa Police wa Tegeta ili Wakukamate na kwa jinsi Mdomo wako ulivyo Mweusi na Macho yako muda wote kuwa Mekundu hutowakwepa 'Detective Police' wa hapo na utaozea Keko au Segerea.

Umenikera mno tu na usije Maskani.
Tunaomba ambulensi, kuna mtu yuko mahututi hapa.
 
Soka la bongo linanuka rushwa kuanzia wasimamizi wa soka lenyewe, viongozi wa klabu, waamuzi na mpk wachezaji.

Hao wachezaji maduka wanaharibu sana soka letu
 
Nakubali mzee wa za ndaaaaani kabisa, ulistahili ulipwe kutokana na hizi exclusive contents.Kwa hakika unalijua soka la bongo hasa katika figisu zake nje ya uwanja.
Inabidi Mtani wangu mkubwa wa Kihaya, Kaka yangu Kiumri na Kipanga ( Genius ) JamiiForums Founder Kamarada ( Comrade ) Maxence Melo alifanyie Kazi hili.
 
Sijawahi kusikia timu pinzani inayocheza na yanga ikihaidiwa kupewa zawadi ya sh 10-20M ikiwa itasuluhu au kuifunga yanga.
 
Na usije tena Maskani yetu Tegeta kwa Swahiba wako Mkuu na Bingwa wa Kucheza Mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.

Binafsi kama mwana Maskani wako hapo leo nakuambia Nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo Kucheza Mpira na kuisaidia Timu yako ya KMC FC ipate Ushindi dhidi ya Yanga SC.

Mateo Antony nakujua Uwezo wako mkubwa wa Mpira ulionao ila leo kwa Makusudi kwa Uyanga wako na Mapenzi yako ya Kujipendekeza kwa Yanga SC na Matajiri Wao Wakuu GSM kwa Makusudi ulikuwa unaua Muvu za Magoli, unachelewa kutoa Pasi huku kwa Kudhamiria kabisa ukicheza Rafu za Kipumbavu ili upate Kadi Nyekundu kisha utolewe na Uidhoofishe KMC FC yako na ifungwe Kiurahisi na Yanga SC.

Ulivyo Mnafiki kila ukijua KMC FC inakutana / inacheza na Simba SC hata kama ukiwa injury huwa Unalazimisha upangwe Ucheze hata kwa kupigwa Sindano ya Ganzi na huwa Unahangaika kwa Kuhaha huku na kule mpaka Kutufunga Simba SC ila ukicheza na Yanga SC huwa Unajivunja makusudi Kiuchezaji na Kucheza chini ya Kiwango chako kama Leo.

Kwanini humuigi Mchezaji Mwenzako wa KMC FC ( na mwana Yanga SC lia lia ) Beki na Nahodha wako Msaidizi Andrew Vicent Dante Chikupe ambaye Kila akikutana na Yanga SC anayoipenda Moyoni huwa anaikazia na kucheza Kazi Kazi muda wote mpaka Kutufurahisha na Sisi wengine?

Mnafiki mkubwa Wewe SI utakuja Kesho au Weekend hapo ( pale ) Maskani Kwetu ambapo kwa hivi Ulivyonikera ukija tu na kutaka Kuivuta ile Kitu yako Kali Urithi wa Hayati Bob Marley hakyanani Safari hii Nakulengesha ( Nakuchoma ) kwa Police wa Tegeta ili Wakukamate na kwa jinsi Mdomo wako ulivyo Mweusi na Macho yako muda wote kuwa Mekundu hutowakwepa 'Detective Police' wa hapo na utaozea Keko au Segerea.

Umenikera mno tu na usije Maskani.
Braking neeews: Mtoaada haishi Tegeta wala hajawahi kufika dar tangu azaliwe.

Popoma ndio mtanzania pekee ambae amefika Tegeta bila kufika dar
 
Back
Top Bottom