GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,738
- 118,273
Pamoja na kuwa Kwangu mwana Simba SC lia lia, ila GENTAMYCINE nachukia sana Uwongo na Ufahari wa Kijinga kama si wa Kishamba.
Unaandika Tickets SOLD OUT ili Uwakoge wana Yanga SC huku wenye Jukumu la Kukatisha Tiketi zako wakitoa Takwimu za Kweli kuwa Waliokata Tiketi walikuwa ni W Watazamaji 54,000 tu halafu Mpuuzi Mwingine anasema Waliokata Tiketi ni Watu ( Watazamaji ) 60,000.
Halafu EFM Radio ( hasa mwana Simba SC Mwenzangu Ibrahim Masoud Maestro ) hukuwa na haja ya Kulitetea hili Hewani kwa kusema kuwa Uwanja haukujaa wote ( yaani kulikuwa na Magepu ) kwakuwa kuna Watu ( Walanguzi ) walinunua Tiketi nyingi za Tsh 7,000/= kisha kuanza Kuzilangua pale Uwanjani ( kwa Mkapa ) kulikopelekea Wengine kuvunjika Moyo na kuamua Kuondoka zao hivyo kusababisha kuwepo kwa yale Magepu.
Hovyo kabisa.....!!