Msafara wa Ali Hapi wakwama mlimani Sekenke baada ya Lori la Mafuta kuripuka moto katikati ya barabara

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,877
145,954
Msafara wa Katibu wa Wazazi wa CCM umekwama Kwenye foleni milima ya sekenke baada ya Lori la mafuta kuwaka moto katikati ya barabara

Tuzidi kuwaombea

Source: Ayo Tv
 
Msafara wa Katibu wa Wazazi wa CCM umekwama Kwenye foleni milima ya sekenke baada ya Lori la mafuta kuwaka moto katikati ya barabara

Tuzidi kuwaombea

Source: Ayo Tv
wauaji wacha wakwame. Kiliwatukana watu wazima na umri wao kumfurahisha Magufuli, kingeliungusa humo humo
 
Back
Top Bottom