Msaada wa night shift wakuu Mambo ni magumu.

alb amb marwa

New Member
May 28, 2022
1
1
Habari wana jukwaa
age : 23
gender: Male

nahitaji kazi yeyote ya night shift kwani mambo yamekuwa magumu sana.

ni mwanachuo mwaka wa tatu. na course nnayo soma ni miaka mi 4 na financially mambo ni magumu

mwenye sehemu yeyote anae weza kuni saidia am ready .

form 4 . div 1. 14
form 6 . div 2. 10

natanguliza shukrani zangu

0754234981
 
Labda ukaombe ulinzi utokee kwenye rosta
 
Back
Top Bottom