msaada wa kwenye simu yangu samsung GT-18190

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
159
wapendwa inakuwaje,
poleni na majukumu ya kazi,naomba mwenye ujuzi wa kufanya manual setting za internet kwenye simu tajwa hapo juu,yaani haitaki kuwa kwenye 3g,h
kila nikifanya setting inakuwa E,ambayo kwenye intenet inakuwa slow sana,jamani naombeni msaada wenu
 
Ingia setting.then more setting Halafu ingia Mobile networks.

Ingia Network Mode change to WCDMA only..

Angalia kama kuna Mabadiliko
 
Jaribu hizi codes *#*#4636#*#* then chagua "Phone Information" then set your network to WCDMA only... Ikigoma hiyo code jaribu hii *#0011#...Kama tatizo limeanza since unboxing, basi radios za simu yako hazi-support Tanzanian network bands.. Kwa hiyo itabidi utafute radio images za H3G Uk or Vodafone Uk specific for your phone ndo uflash.. Niliwahi kuwa na tatizo hilo kwa Bell Mobility HTC One X and I made.. Now working with 3G HSPA..
 
Back
Top Bottom