Msaada wa connection za kazi za ICT

Nawashukuru wote mliochangia thread hii na mnaendelea kuchangia kwa kweli mnanijenga kuja kuwa bora .ila naomba msaada wenu nimeitwa kwenye interview kama system developer naomba msaada wa possible questions❓ili nijipange
Technically utaulizwa maswali ya kupima ufahamu wako juu ya vitu vya msingi. Na haswa watataka kujua unaweza nini bila kusaidiwa. Hakikisha kila ulichoandika kwenye CV unakielewa vizuri pia!

Pili kama unaenda kwenye timu, jiandae na maswali ya uwezo wako juu ya kushirikiana na timu ikiwepo vifaa kama Git na repos zake kama github na gitlab

Mwisho itakuwa ni personal questions kama namna uanweza kuishi na wengine pale na kuweza kuchanganyika na utamaduni wa pale.

Si maswali per se ila ni angles za msingi sana kwenye interview
 
Nawashukuru wote mliochangia thread hii na mnaendelea kuchangia kwa kweli mnanijenga kuja kuwa bora .ila naomba msaada wenu nimeitwa kwenye interview kama system developer naomba msaada wa possible questionsili nijipange
Sijui lakini nahisi Tz tuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Kama tunataka kuendelea ni lazima tubadilike.

Sasa huyu ni graduate anatuambia tumpe maswali, kwa lugha rahisi tuvujishe mtihani!!

Na huyu huyu ndiye tunamtegemea kesho aje kusimamia mifumo ya fedha BoT, TRA nk!!

Ndio maana websites za serikali ziko very poor na sometimes haziko hewani na websites za vyuo (mfano UDOM) zinadukuwa na admin hana habari kumbe developer wao ndio wametokea huku huku kwenye kuvujisha pepa!!

Kazi ipo!!
 
Tatizo lipo wap hapo ameulizia mtu mwenye uzoef na interview za developer, sasa wew unajikuta mjuaji saana ndo tatizo lako
 
nashangaa mtoa mada anaongea vizur tu ila baadhi wanaompa ushauri wanakuja juu kwa kumpinga na kumwambia hajui kitu...
 
Wacha kuvunja watu moyo ww, kwani lazma aweke project zake public ndio apate kazi? nyinyi ndio mnaocopy paste idea za watu kisha mnapigia hela. Ashakwambia mpe email kama uko interested shida iko wapi.
Up to 80% ya web servers zina run Linux OS...
Na hii ni Open source project, namaanisha hata wewe unaweza clone it for free...

Almost 98% ya Programming languages ni Open source

So huyo ana Project gani kubwa ya maana kiasi cha kuifanya siri?
 
Umepoteza nguvu zako bure tu. Kwamba ninataka kuiba idea ya fresher kilikuwa kituko xha aina yake cha kucheka na kumpotezea. Anatumia uhuru wake wa kutoa maoni pia. Ni kuvumiliana tu huku JF 🤣🤣🤣
 
Mkuu nilichogundua wewe hujui kitu chochote na sina uhakika na uwezi wako kama kweli unaweza kucode, unadai haujatumia library yeyote? Sasa umewezaje kuandika code na umetumia language gani hiyo ambayo haina library zake?.
Labda nikusaidie katika kucode library lazima utumie kulingana na programing language unayotumia, ila tu unaweza usitumie framework katika kucode yaani ukacode from the scratch, so umechanganya kati ya library na framework.
Kingine cha kukushauri siku izi kampuni nying wanataka watu wenye ujuzi wa ku interact na framework kwa ajiri ya security issue coz ukitengeneza kasystem kako from scratch hautawezi kuimplement security yaani vulnerabilities zitakuwepo za kutosha, jifunze kucode kwa kutumia framework.
du! man not fair kabasa imagine ungekuwa wewe unatafuta kazi itayokufanya upate mkate wako wa kila siku na familia yako, halafu mtu anatokea anakukosoa kama hivi mbele ya watu ambao wewe unataka kuwajulisha kuwa unaujuzi fulani ili wakuajiri what will you feel?
kwa kuwa anajua hicho kidogo usimkatishe tamaa bado yupo kwenye safari ya kujifunza, ni bora ungemshauri huko inbox au kwenye email
 
Unatafuta nafasi ya kazi unatarajia boss akupe email yake ili umtumie project? Kwa nini graduate mnakuwa wazembe kufikiri hivi?
Haya unadhani mtu aliyeweka link za project zake public na wewe unayesubiri wakupe email uzitume nani atapata nafasi? Acha uzembe, kuwa serious angalau kidogo basi. Otherwise utakaa home miaka na miaka. Dunia imebadilika!
Mtu anaomba msaada afu mijitu inakuja na maswal kibao, Kama kazi mnayo si mmchukue jamaa mfany nae kazi. Au ndo mnataka tujue kuwa nanyi ni wabobezi wa hayo Mambo???
 
Mtu anaomba msaada afu mijitu inakuja na maswal kibao, Kama kazi mnayo si mmchukue jamaa mfany nae kazi. Au ndo mnataka tujue kuwa nanyi ni wabobezi wa hayo Mambo???
Ukitaka kujua post zangu zimemsaidia vipi kusogea mwulize mwanzisha mada. Hayo mengine uliyoandika ni ujinga kama ujinga mwingine tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom