Msaada: Udhamini wa vipimo na matibabu

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,523
3,743
Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,

Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna,

Pia maumivu ya mgongo nakuwa nayaskia sana yani katikati ya mgongo, Sasa nilikuwa naomba udhamini au msaada wa kupata mtu anisimamie kwenye vipimo, labda ultrasound tumboni na dawa ugonjwa ukipatikana,

Siitaji ata mia yake mi nipate vipimo tu vyovyote vile vikiitajika view vikubwa au vidogo , Asanteni sana🙏
 
Huitaji fedha ila unataka udhaminiwe! Kama pesa sio shida kwanini usiende hospitali mwenyewe?
 
Umeshaenda hospitali?

Umeshaandikiwa vipimo?

Mkuu ungesema unahitaji msaada wa matibabu kwani unqjuaje lazima uandikiwe mavipimo, unaweza kwenda hospitali Dr akakuchunguza tu akakuandikia dawa au kuna raia hapa anaweza soma maelezo yako akakushauri dawa straight
 
Pole Sana .

Ushauri

Nenda kwanza hospital then wakuambie gharama ni kiasi gani ukishajau gharama utaweza kupata Mwanga

Maana kusiaidiwa vipimo lazima ufike hosptali kwanza
 
Habari za usiku huu au jioni hii wakubwa wangu na ndugu zangu wengine, poleni na majukumu siku ya Leo, naomba kusema mrejesho wangu baada ya kwenda hospital kuulizia vipimo, nimeambiwa mapokezi tu kufungua kadi ili nikamuone daktari ni sh 10000, huko ndo ataniambia nipime vipimo Gani na Gani , nesi mwenyewe anasema hajui chochote kinachosemwa na daktari, kesho nataka niende Sina hela ndugu zangu naomba msaada wenu mnisaidie nipime naumia🙏🙏
 
Unahisi itakua Nini mkuu? Je? Unajishughulisha na shughuli gn ya kukuingizia kipato.
Je? Umeshajaribu kuwashirikisha ndg zako kabla ya kuja humu?
 
Hujasema uko mkoa gani na wilaya pia ,iwe rahisi kwa wanaoweza kukusaidia
Habari za usiku huu au jioni hii wakubwa wangu na ndugu zangu wengine, poleni na majukumu siku ya Leo, naomba kusema mrejesho wangu baada ya kwenda hospital kuulizia vipimo, nimeambiwa mapokezi tu kufungua kadi ili nikamuone daktari ni sh 10000, huko ndo ataniambia nipime vipimo Gani na Gani , nesi mwenyewe anasema hajui chochote kinachosemwa na daktari, kesho nataka niende Sina hela ndugu zangu naomba msaada wenu mnisaidie nipime naumia🙏🙏
 
Unahisi itakua Nini mkuu? Je? Unajishughulisha na shughuli gn ya kukuingizia kipato.
Je? Umeshajaribu kuwashirikisha ndg zako kabla ya kuja humu?
Sijajua kitu Gani mkuu kinasumbuq, Sina shughuli maalumu ya kufanya mkuu,
 
Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,

Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna,

Pia maumivu ya mgongo nakuwa nayaskia sana yani katikati ya mgongo, Sasa nilikuwa naomba udhamini au msaada wa kupata mtu anisimamie kwenye vipimo, labda ultrasound tumboni na dawa ugonjwa ukipatikana,

Siitaji ata mia yake mi nipate vipimo tu vyovyote vile vikiitajika view vikubwa au vidogo , Asanteni sana🙏
Pole Sana
Unapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom