Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaada wowote, napewa dawa za maumivu sababu vipimo nilivyopima ni Echo na ECG navyo nimeambiwa viko normal kabisa.
Sasa hivi maumivu yamehamia upande wa kulia kama nachomwa kisu au nakandamizwa, au napigwa na chuma, x ray pia nimepiga hamna kitu.
Nisaidieni mawazo ndugu zangu nateseka.