MSAADA: Mke wangu anasumbuliwa na tumbo

Mondela

JF-Expert Member
Aug 20, 2021
2,570
3,766
Habari,

Nahitaji msaada, mke wangu anasumbuliwa na tumbo na hii ilitokana baada ya kujifungua mwaka 2018 alichanika sana hivyo ikabidi ashonwe na pia aliongezewa damu, baada ya kupona tumbo lilianza kumsumbua mara akose nguvu mwili mzima.

Tulianza kupima mimba kila mara lakini wapi, nikampeleka hospitali akachukue vipimo alipimwa Ultrasound, wakachukua haja kubwa na mkojo lakini hakukuwa na tatizo, saivi naona tatizo linaendelea kila siku.

Nahitaji msaada hata wa mawazo .
 
Pole sana mkuu kwa changamoto kwa mkeo, jaribu kutembelea hospital kubwa kuwaona specialist, pia jitahidi kuwaona wataalam tofauti maana hata wao huzidiana uelewa kuna wenye vipaji vya kuona matatizo zaidi ya wengine.

Poleni sana.
 
Asante mkuu nitajaribu kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom