Mrisho com
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 3,926
- 3,968
Nina king'amuzi cha Azam cha antena, sasa nikiweka flash inacheza video ila sauti haitoi kabisa. Sasa nawatafuta Azam kwa njia ya simu naona ngonjera tu.
Hivyo mwenye ujuzi kabla wa sikufunga safari ya kuwafuata anielekeze ni kwanini video nikiplay hazitoi sauti ambazo nyingi ni za mp4?
NATANGULIZA SHUKRANI
Hivyo mwenye ujuzi kabla wa sikufunga safari ya kuwafuata anielekeze ni kwanini video nikiplay hazitoi sauti ambazo nyingi ni za mp4?
NATANGULIZA SHUKRANI