Msaada: Jinsi ya kuconect Alitop TV cast to Android TV

Eeh Ali top wenye hako kadude wanauhusiano na Ali msomali
 
Connect wifi na simu yako nenda ktk youtube kuna sehem ya cast ku chukuwa code weka katika TV, pia ipo App mahususi playstore cast
 
Connect wifi na simu yako nenda ktk youtube kuna sehem ya cast ku chukuwa code weka katika TV, pia ipo App mahususi playstore cast
Kwenye YouTube hamna sehemu ya wifi?
IMG_20240428_061141_110.jpg
 
Back
Top Bottom