MSAADA: Blackberry Torch 9810

Ngumu kumeza

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
577
354
Habari Wadau,

Ninatumia blackberry torch 9810, kama siku mbili zimepita
imeanza tatizo ambalo nashindwa kulielewa.

Kifupi ni kwamba screen yote imekuwa nyeupe na kuna maandishi
rangi nyeusi yanasomeka kama ifuatavyo;

Error 102
Reload software.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu simu yako inahitaji kureload OS upya , fanya hivi connect simu yako kwenye pc ukiwa umeconnet internet, na uwe na bundle lisilopungua 300Mb hivi .

Fungua blackberry desktop manager, kama hauna google na udownload. Baada ya BDM kufungua itakuja msg ya kukuambia simu yako haitambuliki.

Itakupa option ya ku update click update then itadownload OS ya simu yako (process hii itachukua mda kulingana na speed ya internet ya mtandao wako) ita-reload OS kwenye simu yako. Na kwenye process hiyo itakupa option ya kubackup apps zako na mwishoni

Baada ya kumaliza itachukua mda kuwaka kama dakika 20 isubirie hadi imalize baada ya kumaliza unaweza kurestore backup zako ulizowahi kufanya kipindi cha nyuma ili usipoteze data zako kama contacts na sms or e-mail ..

Unatakiwa ujiamini kufanya hii kitu vinginevyo umuone fundi tu. Nimeamdika kwa haraka hope maelezo yangu yanaweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine.
 
MKUU KWA BLACKBERRY INAYOHITAJI CODE JE...NIFANYAJE?
 
Ukikwama julisha kuna njia 3 hiyo ya kutumia blackberry desktop manager ndiyo common
 
Back
Top Bottom